Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wote ni wajerumani waliopoa. Au tuseme Nissan ni BMW/VW aliyepoa na Toyota ni Porsche/MB aliyepoa eh. [emoji16][emoji41]
😬😬😬 kumuweka Toyo kwenye class ya Porsche ni matusi makubwa sanaaa... Nissan imechangamka, ndio maana hata wabongo wanalia lia gharama ya kuzi maintain.. Sema Toyo sio wabaya
 
[emoji51][emoji51][emoji51] kumuweka Toyo kwenye class ya Porsche ni matusi makubwa sanaaa... Nissan imechangamka, ndio maana hata wabongo wanalia lia gharama ya kuzi maintain.. Sema Toyo sio wabaya
Wewe si ndiyo umeanzisha huo mzaha wa kulinganisha mjapani na mjerumani mie nilikuwa naendeleza tu. Hehe nasikia wazee wa Dualis wameanza kulia huko sijui kimewakumba nini.
 
Kuchimba dawa
Me%20amour.jpg
 
Back
Top Bottom