mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Hizo RR huwa ndo ndoto yangu japo vitisho ninavyovipata si vya sayari hii .......eti ukinunua hiyo machine uhakikishe unapesa nyingine km uliyonunulia kwa ajili ya matunzoGari za kawaida tu kama brand new RR G wagon zinatosha.