Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eti wakuu [emoji16]
20220724_204338.jpg
 
Boss, unataka kubeba watu usiowafahamu? Mafuta yana ukali, ila usalama uzingatiwe. Chukua tahadhari mazee!
Ni kweli mkuu maana tunaishi Tanzania iliyogeuka, ni ngumu mno kujua Nami ni abiria au bad person,may be ni kukusanya ID'S zao kwanza kabla hajaingia ndani ya gari, na kama utachukua abiria zaidi ya mmoja jitahidi uchanganye yaani ke&me
 
Back
Top Bottom