ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Subaru 2.0 XT na Hilux D4D... Mabro flani wenye majina ila makubwa jinga [emoji1787]Kama umeongozana na D4D hakuna mwendo hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subaru 2.0 XT na Hilux D4D... Mabro flani wenye majina ila makubwa jinga [emoji1787]Kama umeongozana na D4D hakuna mwendo hapo.
Leo maneo ya pale alipo karibia na ubalozi wa ufaransa nimekutana na Golf R piruu ya blue flani hivi matataInawezekana na gari gani unatumia. Labda alikuwa na VX-R kwenye matuta anapita na 100+kph kwingine 200+kph
Ambayo sio Turbo ina 15OHpHivi ndio nilikuwa nafikiri.
Hilux Top Speed ni 200 kphAmarok top speed yake iko juu sana.... Amarok inaweza kunyanyasa gari nyingi za Japan. Tena kama ni V6, wacha kabisa
Kwahio speedo haina mpinzani😂😂😂
Sawa mjerumani sirudii tena.Wewe nae unahangaika na hio hilux yako. Hamna kitu hapo tukizungumzia mwendo. Labda uweke na akina IST.
Najua mkuu ila nachangamsha kijiwe tu!😂XT hujui ni nini?
Zote ziko hivyo, power ni tofauti ila top speed zinalingana... German machine hata ikiwa na 1.0 engine, top speed ni 256kph, na ndio maximum recommended speed in Germany. Ila hii ni V6Hii ni v6 3.0tdi au 2.0L ?
Hii hata ukiwa na Mark X unakaa 🤣🤣🤣Kwahio speedo haina mpinzani😂😂😂
Arusha wamejenga bypass, sahivi watu wameshajaa na ina matuta mob.Inabidi kuwe na by-pass na wahakikishe wanakijiji hawafuati barabara na kujenga pembezoni.
Wacha mchezo na German machines, zinatengenezwa kwa ajili ya top speed.... mimi huwa sitaki kabisa ligi na German machines, muache aende.V6 ishawahi kunikomesha hio siisahau.
Ukiwa na mark x hii (260kph) mtakalishana tu mkuu...Hii hata ukiwa na Mark X unakaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni Mark X kichaa!Ukiwa na mark x hii (260kph) mtakalishana tu mkuu... View attachment 2327437