does exist
Member
- Aug 19, 2022
- 6
- 8
Noted, asante mkuuKama unaagiza Japan sawa...
Kama unanunua kwa mtu sikushauri..
Mkononi kwa mtu tafuta gari linaloendana na hilo la Toyota.
Ila kama unaagiza Japa , mpaka lije lianze kukusunbua, utakuwa umeshajua ABC za gari na machimbo ya spea za Mazda...
Changamoto yake ni spea si kila mahali utapata