Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama unaagiza Japan sawa...
Kama unanunua kwa mtu sikushauri..
Mkononi kwa mtu tafuta gari linaloendana na hilo la Toyota.

Ila kama unaagiza Japa , mpaka lije lianze kukusunbua, utakuwa umeshajua ABC za gari na machimbo ya spea za Mazda...

Changamoto yake ni spea si kila mahali utapata
Noted, asante mkuu
 
Mlioko kwenye road trip weekend hii msiache vichwa. Mabasi mengi ya mikoani yamejaa kutokana na shule kufunguliwa so kumekua na uhaba wa usafiri.

Juzi nimepita Puma mwenge saa saba usiku nimekuta watu wengi wanangoja usafiri wakwenda Arusha, Moshi mjini nk.
 
Nabahatishaga pisi kali kinoma, sema meno sina siku hizi 😁😁😁 kibogoyo naishiaga kuchukua namba na kufuta
 
Dom - dsm mdogg mdogo
20220904_105939.jpg
20220904_110042.jpg
 
Back
Top Bottom