Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwahiyo tusiojua kuendesha mnatuona wanyoonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi angalau nifike 30 huko ndio nitawaza kuendesha.
Nilivyo na hasira za haraka ningekuwa nabamiza watu wanaokwenda rafu.
[emoji16][emoji16] sio wanyonge kabisa Yani maisha yamebadilika sana miaka watoto wa 15yrs saiv wanajua ku drive ni maamuz yako TU kutokujua au kujua Kwa muda huu.
 
Mnyama
 

Attachments

  • IMG_20220928_095342_233.jpg
    IMG_20220928_095342_233.jpg
    801.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom