Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Road Trip yangu ya tarehe 22/12/2022 from moshi to mbamba Bay Gari Tako la nyani

Safari nilianza saa kumi na mbili asubuh.. taratibu kutoka moshi pemben kukiwa na kvaaaa kubwa na energy drink.. niliamua kupita route ya arusha.. niliingia babati mapema sana nikapata supu ya nguvu ili kvaaa isinisumbue .. maana kvaaa ukinywa bila msosi lazm ikujeruh.. baada ya kupata supu nzito nikaanza safari.. kwanza nilitaka nipite njia ya kateshi then singida mpk manyoni then nidondokee dodoma... njia hii nikaona itakuwa n ndefu sana na pia nilikuwa pekee yangu itanichosha.. nikapita njia ya short kat hapo nikawa nimefika dodoma.. aisee kvaaa inateta sana njaa dodoma pale nikapiga msosi nyama nyama.. then kama kawaida energy drink n kvaaa.. ki ukwel tako la nyani n gari la safari.. ina weakness moja tu ni gari ambalo n jepesi ukiwa speed kuna wakat nilitaman kupakia hata mawe nyuma ya gar ilitu kuongeza uzito

Dodoma nikapita mtera then iringa.. nilipofika iringa ikabid nipumzike nipate kilaji.. nikaona bora nilale kesho niendelee na safar ya kwenda mbamba bay.. pale iringa nikala nyama sana pale.. ile nimeamka asubuh tumbo linauma balaaa full kuhara aiseee dahhhh ikabid nitulie.. mchana ikabid nibadili route niende tu njombe kwa wakwe zangu wa zamani.. kaa pale njombe.. stimu za kufika mbamba Bay zikaisha nikarud zangu moshi...

Next Year lazm nifike mbamba Bay nipande meli nizunguke nyasa.. .. hii Road Trip lazm itimie..then nizunguke ruvuma nitokee dar es salaam. hakika Tako la Nyani ni Gari...

Happy New Year wadau.....
Mkuu wewe ni mbabe
 
Anyways, mimi sio mzazi wako na sitaki kukupangia.

Ila nashauri tu, alcohol and driving is very dangerous.

Leo utapatia utajiona mjanja ila kuna siku hutaamini kitakachotokea.
 
Situation kama hizi huwa situmii breki, natumia manual kushikilia speed
20230101_130140.jpg
 
Wengi hawajui. Cruise control ina +/-
Unaweza kutumia hizo kuongeza au kupunguza speed. In short ukiweka cruise on unaweza kuendesha gari kwa button tu
Yes yes. Sasa nnachojiuliza kwenye huu muktadha, if you ask it to slow down, na unashuka mlima, itatoa gia na kutumia engine braking ama ita apply physical brakes?
 
Back
Top Bottom