ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 701
- 1,703
nimi pia nimejiuliza hii kitu mkuu...Mkuu ulikuwa na nani? Kwahio umeendesha ulivyochoka ukaamua kukatisha safari?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimi pia nimejiuliza hii kitu mkuu...Mkuu ulikuwa na nani? Kwahio umeendesha ulivyochoka ukaamua kukatisha safari?!
Kwako pia mkuu. Tunapambana na askari wakali wa mkoa wa Iringa. Huku waliwahi nipiga tochi niko 154Happy new year kwenu wote....
Niliamua kwenda njombe ..baada ya afya kuleta shidaMkuu ulikuwa na nani? Kwahio umeendesha ulivyochoka ukaamua kukatisha safari?!
Happy New YearHappy new year kwenu wote....
Niliwaachia jamaa mteni kiroho safiHio unalipa na smile.
Mkuu wewe ni mbabeRoad Trip yangu ya tarehe 22/12/2022 from moshi to mbamba Bay Gari Tako la nyani
Safari nilianza saa kumi na mbili asubuh.. taratibu kutoka moshi pemben kukiwa na kvaaaa kubwa na energy drink.. niliamua kupita route ya arusha.. niliingia babati mapema sana nikapata supu ya nguvu ili kvaaa isinisumbue .. maana kvaaa ukinywa bila msosi lazm ikujeruh.. baada ya kupata supu nzito nikaanza safari.. kwanza nilitaka nipite njia ya kateshi then singida mpk manyoni then nidondokee dodoma... njia hii nikaona itakuwa n ndefu sana na pia nilikuwa pekee yangu itanichosha.. nikapita njia ya short kat hapo nikawa nimefika dodoma.. aisee kvaaa inateta sana njaa dodoma pale nikapiga msosi nyama nyama.. then kama kawaida energy drink n kvaaa.. ki ukwel tako la nyani n gari la safari.. ina weakness moja tu ni gari ambalo n jepesi ukiwa speed kuna wakat nilitaman kupakia hata mawe nyuma ya gar ilitu kuongeza uzito
Dodoma nikapita mtera then iringa.. nilipofika iringa ikabid nipumzike nipate kilaji.. nikaona bora nilale kesho niendelee na safar ya kwenda mbamba bay.. pale iringa nikala nyama sana pale.. ile nimeamka asubuh tumbo linauma balaaa full kuhara aiseee dahhhh ikabid nitulie.. mchana ikabid nibadili route niende tu njombe kwa wakwe zangu wa zamani.. kaa pale njombe.. stimu za kufika mbamba Bay zikaisha nikarud zangu moshi...
Next Year lazm nifike mbamba Bay nipande meli nizunguke nyasa.. .. hii Road Trip lazm itimie..then nizunguke ruvuma nitokee dar es salaam. hakika Tako la Nyani ni Gari...
Happy New Year wadau.....
Anyways, mimi sio mzazi wako na sitaki kukupangia.Road Trip yangu ya tarehe 22/12/2022 from moshi to mbamba Bay Gari Tako la nyani

Nipo good now.. nyama tu zile za iringa zilileta shida...Pole. Hope you've recovered
Noted mkuu... sema wengine tupo addicted sana aiseeeeAnyways, mimi sio mzazi wako na sitaki kukupangia.
Ila nashauri tu, alcohol and driving is very dangerous.
Leo utapatia utajiona mjanja ila kuna siku hutaamini kitakachotokea.
Why not cruise control?Situation kama hizi huwa situmii breki, natumia manual kushikilia speedView attachment 2465490
Not equipped. Hivi cruise control ina slow down hill kwa kutumia brakes au gearing?Why not cruise control?
Wengi hawajui. Cruise control ina +/-Not equipped. Hivi cruise control ina slow down hill kwa kutumia brakes au gearing?
Yes yes. Sasa nnachojiuliza kwenye huu muktadha, if you ask it to slow down, na unashuka mlima, itatoa gia na kutumia engine braking ama ita apply physical brakes?Wengi hawajui. Cruise control ina +/-
Unaweza kutumia hizo kuongeza au kupunguza speed. In short ukiweka cruise on unaweza kuendesha gari kwa button tu
Inashusha gears kwa engine braking,hata kwenye kushuka utasikia gari ikijishusha rpm na kumaintain mwendo uliotega.Yes yes. Sasa nnachojiuliza kwenye huu muktadha, if you ask it to slow down, na unashuka mlima, itatoa gia na kutumia engine braking ama ita apply physical brakes?
Hapo sawa. Kutumia breaks downhill kwa muda mrefu ni hatariInashusha gears kwa engine braking,hata kwenye kushuka utasikia gari ikijishusha rpm na kumaintain mwendo uliotega.