Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

wanaoamini katika sheria ya karma wanadai tukio la mwisho ambalo utakuwa unalifanya wakati wa kuingia mwaka mpya,ndio litatoa hatma ya mzunguko wako wa maisha kwa mwaka mzima.

kama mwaka mpya ulikukuta lodge unangonoka na kahaba au bar unalewa pombe basi destiny yako ya maisha kwa mwaka mzima, itaenda sambamba na baadhi ya matukio uliyoyafanya siku ambayo mwaka uligeuka. hiyo ni kwa mujibu ya wanaomini katika sheria ya karma.

kwangu mwaka mpya umenikuta nikiwa katika roadtrip ya kikazi maeneo ya nyanda za juu kusini. ni imani yangu 2023 utakuwa ni mwaka wenye roadtrip nyingi za faida kwangu na kwako pia. happy new year dear friends.

nimekuwekea ka-video hapa chini.
 
Attachments

  • InShot_20230102_115720470.mp4
    18.1 MB

Mwaka mpya umenikuta nimelala home, hii maanake nini mkuu?
 
Noted mkuu... sema wengine tupo addicted sana aiseeee
Mkuu usiache pombe ikutawale kiasi hicho. Hapo unakua unachanganya mambo mawili kwanza kichwa kinakua hakipo katika hali yake ya kawaida halafu kichwa hicho hicho utegemee kikuongoze kwa safari yako.

Samahani mkuu ila nakuomba zingatia sana kutokutumia kilevi wakati wa safari hasa wewe ukiwa dereva.
 
Hasa kwa kutembea usiku, ni kichefuchefu.

Jana nimetembea Arusha to Dodoma njia haina matuta ya kipuuzi, njia pana, safi. Kutoka mnada wa nyama pale Dodoma kwenda Iringa hali ikabadilika ghafla utafikiri nimehama nchi nimeingia Sudani.

Hatuna national highyway code ya kuweka utaratibu consistent wa ujenzi wa barabara? Kila mhandisi anajiamulia lake? Matuta hayaongezi gharama za ujenzi? Na zile breki zinazofungwa na heavy trucks linapofikia tuta, hazisababishi barabara kuhitaji kuwa strengthened zaidi ili isitengeneze mawimbi kwenye lile eneo?

Kama unaweka tuta, kibao cha 50 cha nini? Vipi usiku ambapo hakuna pedestrian activity kwenye hilo eneo, hilo tuta lina serve purpose gani?

Mlioshi nchi za wenzetu, wanafanyaje?
Kutoka Arusha - Dom tuta la mwisho lipo kondoa baada ya hapo unalikuta mipango. Ni sehemu sasahihi ya kujali muda na kuangalia uwezo WA chombo chako.
 
Halafu niliwahi kusema siku moja.

Wabongo ni kukosa exposure na uthubutu wa kuwa tofauti.

Ila wakiamua wanafanya.

Ukisoma threads za miaka 5 nyuma za Subaru, utashangaa sana. Ila sasa zimetapakaa kila kona.

Tuna ile "fear of unknown" yani tunaogopa kitu tusichokiona. Kitu cha kufikirika.

Unachosema ukweli mtupu huwa tunasubiri nani aanze

Wakishaona watu wamenunua baasi inaaminiwa bila trial wala analysis yoyote

Mfano nani anakumbuka brevis zilivoingia kwa kasi?

Lakini baadae watu kuja kushtuka jini mafuta wakaanza kuziuza kwa mil 4-5ml hata leo ukitaka brevis ya 3ml namba D unapata kirahisi tu

So hivi karibuni baada ya forester na vanguard natabiri mazda Cx-5 atarithi hili soko kwa cross-SUV

Kwa Sedan natabiri kompressor C200 zitarithi 3 series na crown ni swala la muda tu.
 
Mkuu usiache pombe ikutawale kiasi hicho. Hapo unakua unachanganya mambo mawili kwanza kichwa kinakua hakipo katika hali yake ya kawaida halafu kichwa hicho hicho utegemee kikuongoze kwa safari yako.

Samahani mkuu ila nakuomba zingatia sana kutokutumia kilevi wakati wa safari hasa wewe ukiwa dereva.
Mkuu leo nimesoma kwa millard ayo kuna ajali imeuwa familia nzima.. nimesikitika sana jamani kusafir na familia ni risk sanaaa aisee
 
wanaoamini katika sheria ya karma wanadai tukio la mwisho ambalo utakuwa unalifanya wakati wa kuingia mwaka mpya,ndio litatoa hatma ya mzunguko wako wa maisha kwa mwaka mzima.

kama mwaka mpya ulikukuta lodge unangonoka na kahaba au bar unalewa pombe basi destiny yako ya maisha kwa mwaka mzima, itaenda sambamba na baadhi ya matukio uliyoyafanya siku ambayo mwaka uligeuka. hiyo ni kwa mujibu ya wanaomini katika sheria ya karma.

kwangu mwaka mpya umenikuta nikiwa katika roadtrip ya kikazi maeneo ya nyanda za juu kusini. ni imani yangu 2023 utakuwa ni mwaka wenye roadtrip nyingi za faida kwangu na kwako pia. happy new year dear friends.

nimekuwekea ka-video hapa chini.
Haha hizi imani bhana, umenikumbusha zamani mwaka fulani niliingia bafuni kuoga ili mwaka mpya unikute naoga, maana nilipokuwa mdogo kabla sijabalehe nilikuwa sipendi kuoga kila siku [emoji3][emoji3]

Basi nikaamini kabisa kuwa eti mwaka huo uliofuata ningependa sana kuoga, ila kilichofuata ni muumba ndiyo anajua, hadi nilipokuja kuwa mtu mzima ndipo niliacha huo ujinga [emoji16][emoji16]

Anyways happy new year chief, to more years of successful and memorable road trips.
 
[emoji1787]
 
Majanga ya leo kwenye road trip nikitokea arusha kuelekea dodoma, chuma ikakata Timming Belt maeneo ya Kelema mbele ya kondoa ikabidi nirudi Kondoa mjini kutafuta hiyo belt ila cha ajabu warangi wanachelewa sana kufungua maduka imagine unaambia hili duka jamaa wanafungua saa nne asubuhi na kuna mmoja ilibidi nimfuate nyumbani kwake aje afungue duka ili nipate hiyo belt, ila namshukuru mungu nikafaniwa chuma ikaamka mapema sana niko Dom. View attachment 2468175View attachment 2468176
IMG_20230103_094717.jpg
 
Back
Top Bottom