Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Raha ya road trip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtera??Raha ya road tripView attachment 2493364
Hapana mbeya niliwanunua wabichi nikanunua mafuta wakanikaangia huku nikisubiria [emoji1][emoji1][emoji1]Mtera??
Safi Sana umeenjoy roadtripHapana mbeya niliwanunua wabichi nikanunua mafuta wakanikaangia huku nikisubiria [emoji1][emoji1][emoji1]
MsolwaKipi hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km chiziiiiiuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2492870
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ungekuwa ww ungefanyaje jamaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km chiziiiiiuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c nampa gari yake, kwan yeye ametaka nn hapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ungekuwa ww ungefanyaje jamaa?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Afu ww upo kwenye taxi na gari yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c nampa gari yake, kwan yeye ametaka nn hapo.
Rec & towing truck si wangefanya bizness mazee!?Hongera mkuu, ungekuwa na BMW, Benz au Audi ingekuwa burudani sana
Nashuka kuchukua gari yake ilipo,afu nampelekeaa.Afu ww upo kwenye taxi na gari yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Asubiri kukaanga engine tu, Gauge mbovu.Aje hapa JituMirabaMinne
Hii dash kama gari imeshatembea fanya mpango ufix hiyo gauge.
Hata gari itengenezwe na steel, kuna impact ikikupata hutoki.Duh, hii HOWO mchina anatengeneza kwa kutumia mabox?? Yan kugongwa na coaster ndo imekuwa nyanga nyang'a hvo????
Wow watamu sana haoRaha ya road tripView attachment 2493364
We jamaa unapenda kweli kuwachokoza wajerumani. Ila wana maneno ya kashfa sana endelea kubalance mambo.Hahahah huwa tunadharaulika sana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wajerumani wanaongeaga kwa nyodo sana na kututukanisha wajapani 😀We jamaa unapenda kweli kuwachokoza wajerumani. Ila wana maneno ya kashfa sana endelea kubalance mambo.
Hiyo ni coolant temperature au outside temperature? Share picha ya hiyo sehemu inayoandikwa temp na gauge ya jotoBro usikariri Mie gari yangu nzima na kuna muda inasoma 19⁰C hapo inakua haiko nusu kama unavyosema kwa hiyo ni wrong?