Inabidi wanazi wa gx100 tujianeFamily member.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi wanazi wa gx100 tujianeFamily member.
Umeona ile video ya ajali ya boda boda ? Wamekufa kama watano ,mmoja kavunjika miguu analia tu,hawa jamaa ni wajingaWatu wa hivi wanakimbiza sana vyombo vya moto.. hata boda boda ukikuta kavaa ndala kaa nae mbali
Kazi ya airbag ni kuzuia usiumie kifua kwenye vijiajari vya bahati mbaya, ila ukiwa umelewa alafu speed kali na mkanda hujafunga airbag haina msaadaHalafu hizi ma-airbag kumbe hazisaidii kwenye mshindo heavy na sioni hata kama zimedeploy
😂😂😂 karibu tena comradeNilienda Vacation ndo nmerudi
Nimeiuza mwezi wa kumi na mbili itabidi nirudi tenaInabidi wanazi wa gx100 tujiane
Hizi haiuzwi Mzee baba unaongeza tu nyingine ila mashine Yako inabakiNimeiuza mwezi wa kumi na mbili itabidi nirudi tena
Dah kweli mkuuHizi haiuzwi Mzee baba unaongeza tu nyingine ila mashine Yako inabaki
Nilikuwa natembea na 60 yangu tigopesa 🤣DAH sipati picha ulivyo anza kuwapiga swagga kwanza.
Mpaka umelipa hapo jasho liliwatoka kidogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiwasheni tu🤣🤣🤣Unataka kiwake....
Mkuu ilula ni mbali sana na makazi ya watu kama vile yameharibu ule muonekano!kama siku za hivi karibuni umepita mikumi, kona za iyovi, mbuyuni na ilula ukiwa ktk roadtrip, utakubaliana nami kwamba hali safi ya hewa, imefanya natural vegetation ya maeneo hayo iwe na mvuto sana.
embu tazama kipande hiki cha video nilichorekodi juzi nikiwa nashuka mlima kitonga.
View attachment 2522285
Jiandae kushambuliwa na wazee wa mikonga [emoji28][emoji28][emoji28]Offroad nazikubali zaidi Landrover 110. Niliwahi kukuta mto umetema huko Manyara gari kibao zimepaki wanasubiri mto upungue.
Kufika pale kucheki maji hayana kasi, nikatia 4wD, Lock diff na Low range. Nikaingia nzima nzima chuma ikaogelea nikatoka upande wa pili.
Jamaa mmoja wa Landcruiser akaona kumbe simple tu nae akafata ila hakutoboa akakaa karibia na kutoka mwishoni.
Ilibidi nirudi tena humo humo kwa reverse nikasimama nikampiga belt na kumkokota hadi ng'ambo. [emoji1373][emoji1373]
Ukiachana na hilo tukio pia kuna sehemu nyingi sana nimewahi kuwakalisha wenye LC's tena kwenye tope ndio usiseme.
View attachment 2522538
Kale kaujenzi pale kwenye mzani wa mikese, kameongeza jam balaa!!Dar Moro wasipofanya kitu kuna siku foleni itakamata watu 48hrs. Kuna siku watu washakaa kuanzia saa4 usiku hadi 11 asubuhi na siku ingine tano usiku hadi 11 asubuhi.
Dawa ni expressway ya kulipia waliyoizungumzia ijengwe na zile njia sita kimara-kibaha zifike Morogoro.
Tatizo wenye maamuzi hawana exposure. Kama imewezekana kujenga sgr inashindikana kujenga proper highway?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu una mtafuta Extrovert ila nakushauri usiyajaribu maji.
Nawasubiri waje na facts tu. [emoji23]Jiandae kushambuliwa na wazee wa mikonga [emoji28][emoji28][emoji28]
Hio mashine ya kwenda. Irudishe road ikapige masafa kidogo.Duh GX100 mnyama. Nimepaki karibu mwaka mzima,mvua jua vyote vyake leo nimeitolea uvivu. Nimefanyq service,battery nimeweka mpya. Jina moja chombo imewaka bila misfire yoyote! Mafundi wanang'ang'ania niwauzie! Hapa fundi anatoa matairi nikayajaze upepo kazi iendelee!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie ni team Toyota chief, ila mziki wa Rover 110 ni habari nyingine kabisa. Landcruiser kamzidi Landrover 110 kwenye durability basiii.[emoji1373]
Ila linapokuja suala la barabara za aina zote Rover ni mfalme tena ukute engine ya diesel (200TDi au 300TDi)
upo sahihi ndg yangu.Mkuu ilula ni mbali sana na makazi ya watu kama vile yameharibu ule muonekano!
Ukitoka kile kijiji cha mahenge wanachouza karanga barabarani, sogea mpaka ilipokuwa kitonga comfort then sogea tena mpaka pale zege ya mlima inapoanzia..
Hakika hicho kipande kinavutia sana, ni miongoni mwa maeneo machache yanayopendeza sana!!!
Msimu wa mvua, unaweza kuyasikia maji ya mto Lukosi yakiporomoka huko kando ya barabara!!
Rip dereva chuma imeisha yani Write-off condition.Simiyu hiyo,mark X janaView attachment 2519879
Huyu alifuta kisahani bila shaka.Hili chuma ni part ya gari au sehemu ya kingo za barabara?View attachment 2520092
AIRBAG wakati uko 180 hutoboi 🤣 unless uwe kwenye 80 hivi angalau.Halafu hizi ma-airbag kumbe hazisaidii kwenye mshindo heavy na sioni hata kama zimedeploy