Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwamba usinichoke, hapo kwenye sport suspension na isiyokua nayo funguka kidogo.

Nataka ka gari ka gumu. Kuna muda Hadi nilikua napigia mahesabu Jimny.
Mtu akisema sport suspension, inamaanisha gari iko stiff. Hainesi. Ngumu. Harsh ride. Wakati soft suspension inakua laini kama Crown.

Uchawi wa ugumu wa gari ni location uliyopo, matumizi na utunzaji.

Ata ukipewa Tank kama sio mtunzaji, itakufa tu.

We unakaa wapi na matumizi makuu ni yepi kwani? Jimny muachie Extrovert
 
Uchawi wa ugumu wa gari ni location uliyopo, matumizi na utunzani.

Ata ukipewa Tank kama sio mtunzaji, itakufa tu.

We unakaa wapi na matumizi makuu ni yepi kwani? Jimny muachie Extrovert
Mwache achukue jimy adundishwe na makorogeshen
 
Mtu akisema sport suspension, inamaanisha gari iko stiff. Hainesi. Ngumu. Harsh ride. Wakati soft suspension inakua laini kama Crown.

Uchawi wa ugumu wa gari ni location uliyopo, matumizi na utunzaji.

Ata ukipewa Tank kama sio mtunzaji, itakufa tu.

We unakaa wapi na matumizi makuu ni yepi kwani? Jimny muachie Extrovert

Lami ipo kama 2.5 km Sasa Dualis ukiipeleka kidogo imeshaanza kusumbua bush.
 
Kama huoni maWIRE zikipitapita hapo Kwa bonnet my fren Jua unanunua MACHINE sio gari Tu!!

#Lexus
#ls260
FB_IMG_1697121943573.jpg
 
Back
Top Bottom