The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Moja ya gari zuri sana sema watu hawajaijulia. Nilikua nayo iyo chuma aisee.
Kati ya hii RunX na Alex ipi unaipendekeza na tofauti yake ni ipi hasa? Hua zinanichanganya ila nawazia mojawapo hasa yenye 4wD