G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Chuga ndani ndani huko man[emoji23] hii kama sio kigoma basi ruvuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuga ndani ndani huko man[emoji23] hii kama sio kigoma basi ruvuma
Hujaleta mrejesho vp ulishapiga hii trip?mm hii ni njia yng navuruga mtwara to songea mara kwa mara,from october to november 20 nimepiga 10,000 kilometers.nimechelewa kuona hii post wahuni walipita na cm.kesho kutwa nna trip ya kutoka mtwara mpk mangaka(nanyumbu).kaka mtwara kuchele usiache kupita escape 41,shooters au triple v na masasi pita pale kibo bar and night club hutojutia[emoji2][emoji847]Nataka hii trip wakuu.
View attachment 2768850
Day 1: Dar to Kilwa Masoko (Nalala)
Day 2: K/Masoko to Lindi to Mtwara (Nalala)
Day 3: Mtwara to Masasi/Tunduru (Nalala)
Kurudi narudi njia iyo iyo, nitachofanya nitaspent usiku 5 tu maximum.
Budget:
1. Kulala na kula (sijajua bado)
2. Mafuta kwa jumla kilometa 2,000 itakua kwenye 200k to 250k kwa gari langu.
3. Emergency
Hope gari haitasumbua.
Mwenye ushauri.
Nataka mwezi wa 10 mwishoni au 11 mwanzoni.
Seventeen hours on the road
Mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata, Kijiji Kwa Kijiji, mtaa Kwa mtaa, nyumba kwa nyuma, sakafu kwa sakafu.. View attachment 2816278
alituliza kichwa sanaHapa Mjapani nampa maua yake linapokuja swala la off-road
Safari fupi tu hiyo ndugu, ondoa hofuWakuu, wiki ijayo natarajia kuwa na safari ya dar- arusha, itakuwa ni mara yangu ya kwanza kupita njia hii. Naomba tips za hapa na pale na za kiusalama kuhusu hii njia.
Safar ikiwa inaanza kutafuta Dar
Imekuja 7.2M na pesa ya clearing agent kiongozi.Vp ushuru makadirio
Sure 2.0L Valvematic enginePrimy kama Primy chuma nanusu.
Nilifika salama mkuu, ashukuriwe mwenyezi mungu. Nlitoka dar saa 12 nikafika machame saa 11. Nilitembea kifaza sana maana nilikua na familia.View attachment 2833440View attachment 2833441Safari fupi tu hiyo ndugu, ondoa hofu
Ukipita kidogo Same tu hapo kwa mbele kidogo ndo hua Kuna upepo fulani unayumbisha gari ukiwa speed, na utaona kibao kikikuonya, mengine haya ya kawaida tu, Tanzania ni moja inafanana
kabla ya kutoka omba dua...December hii Nina trip ya Mbeya to Dar na gari ni Toyota Allex wazoefu ni hii gari nipeni ABC jinsi ya kuchanja mbuga nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri ila wa kiuoga sanaa.kabla ya kutoka omba dua...
njiani usishindane na mtu... run at a controllable speed of about 80 hadi 100 panaporuhusu...
usiovertake hovyo hasa kitonga, jipe vituo kadhaa vya kusimama kushuka kunyoosha mgongo.. usishindilie vyakula vizito vinatia uchovu na usingizi...
beba kichupa chako cha kahawa kikutoe uchovu..
yawahi mabasi kabla hayafika kitonga na vurugu zao
Atachelewa kufika sioUshauri mzuri ila wa kiuoga sanaa.
Asante kwa ushauri mzuri kabisa huukabla ya kutoka omba dua...
njiani usishindane na mtu... run at a controllable speed of about 80 hadi 100 panaporuhusu...
usiovertake hovyo hasa kitonga, jipe vituo kadhaa vya kusimama kushuka kunyoosha mgongo.. usishindilie vyakula vizito vinatia uchovu na usingizi...
beba kichupa chako cha kahawa kikutoe uchovu..
yawahi mabasi kabla hayafika kitonga na vurugu zao
kabla ya kutoka omba dua...