Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nataka hii trip wakuu.
View attachment 2768850
Day 1: Dar to Kilwa Masoko (Nalala)

Day 2: K/Masoko to Lindi to Mtwara (Nalala)

Day 3: Mtwara to Masasi/Tunduru (Nalala)

Kurudi narudi njia iyo iyo, nitachofanya nitaspent usiku 5 tu maximum.

Budget:
1. Kulala na kula (sijajua bado)
2. Mafuta kwa jumla kilometa 2,000 itakua kwenye 200k to 250k kwa gari langu.
3. Emergency

Hope gari haitasumbua.

Mwenye ushauri.

Nataka mwezi wa 10 mwishoni au 11 mwanzoni.
Hujaleta mrejesho vp ulishapiga hii trip?mm hii ni njia yng navuruga mtwara to songea mara kwa mara,from october to november 20 nimepiga 10,000 kilometers.nimechelewa kuona hii post wahuni walipita na cm.kesho kutwa nna trip ya kutoka mtwara mpk mangaka(nanyumbu).kaka mtwara kuchele usiache kupita escape 41,shooters au triple v na masasi pita pale kibo bar and night club hutojutia[emoji2][emoji847]
 
Wakuu, wiki ijayo natarajia kuwa na safari ya dar- arusha, itakuwa ni mara yangu ya kwanza kupita njia hii. Naomba tips za hapa na pale na za kiusalama kuhusu hii njia.
Safari fupi tu hiyo ndugu, ondoa hofu

Ukipita kidogo Same tu hapo kwa mbele kidogo ndo hua Kuna upepo fulani unayumbisha gari ukiwa speed, na utaona kibao kikikuonya, mengine haya ya kawaida tu, Tanzania ni moja inafanana
 
Jana hio, mbeya-- dar.
Next dar- arusha.
20231201_080717.jpg
 
Safari fupi tu hiyo ndugu, ondoa hofu

Ukipita kidogo Same tu hapo kwa mbele kidogo ndo hua Kuna upepo fulani unayumbisha gari ukiwa speed, na utaona kibao kikikuonya, mengine haya ya kawaida tu, Tanzania ni moja inafanana
Nilifika salama mkuu, ashukuriwe mwenyezi mungu. Nlitoka dar saa 12 nikafika machame saa 11. Nilitembea kifaza sana maana nilikua na familia.View attachment 2833440View attachment 2833441
20231204_081616.jpg
 
December hii Nina trip ya Mbeya to Dar na gari ni Toyota Allex wazoefu ni hii gari nipeni ABC jinsi ya kuchanja mbuga nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
kabla ya kutoka omba dua...

njiani usishindane na mtu... run at a controllable speed of about 80 hadi 100 panaporuhusu...

usiovertake hovyo hasa kitonga, jipe vituo kadhaa vya kusimama kushuka kunyoosha mgongo.. usishindilie vyakula vizito vinatia uchovu na usingizi...

beba kichupa chako cha kahawa kikutoe uchovu..
yawahi mabasi kabla hayafika kitonga na vurugu zao
 
Ushauri mzuri ila wa kiuoga sanaa.
 
Asante kwa ushauri mzuri kabisa huu
 
Kitonga overtake ni lazima, kuna malori ya mizigo yana chukua 30-45 minutes kumaliza mlima.
Cha muhimu kuwa makini unavyo overtake kuna newforce na majinja wanashuka kama wehu.
 
Back
Top Bottom