avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hakuna kitu linaitwa Albadri ni usanii tuu kama KURJUANI ya Magoma.LYATONGA MREMA alisomewa za kutosha lakini alidunda mpaka alipofariki kwa uzeeKutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana