Nilishuhudia hii sehem aisee watu walidondoka kama kukuHio dua lazma kwanza msomaji awe msafi kwelikweli, na iliwezekana sana enzi hizo kwa sasa labda waroge ila kukuta mtu msafi wa kukusomea albadili ikafanya kazi kwa sasa ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishuhudia hii sehem aisee watu walidondoka kama kukuHio dua lazma kwanza msomaji awe msafi kwelikweli, na iliwezekana sana enzi hizo kwa sasa labda waroge ila kukuta mtu msafi wa kukusomea albadili ikafanya kazi kwa sasa ngumu
Mkuu unaijua albadili au unaisikiaDua ya kuku ?
Comment nzuri sana hii👆🤝Hakuna kitu kama hicho, hakuna cha dua,maombi,wala holly grail itakayotokea automatically bila kuchukua hatua, kuna level fulani ambayo ukiifikia unaambiwa "UKWELI" hapo ndipo mtu anakuwa huru kutoka kwenye hizo pingu za kutegemea ama kuamini kitu kisichokuwepo, samia ameshaujua "UKWELI" ndiyo maana sasa hivi yupo "HURU".
Kivipi? Hukumuona Mrema???Hazifanyi kazi hizo mambo😄😄😄
Haijui albadili huyoHazifanyi sababu haijakukuta wewe, kwa ambae amewahi ombewa dua hii huwa linakukuta jambo
Kwani waliomuu ni mentalHakuna lolote hapo. Uchawi hauendi kwa mentali.
Mrema ilimshika?Kivipi? Hukumuona Mrema???
😄😄Netanyahu anatetemeka hovyo sasa.
Unanikumbusha waislam walimkaliia chini .kila akitajwa jina lake watu wanaitiikia laana tul laahKivipi? Hukumuona Mrema???
Kuna diplomasia ya kuuwana,Waarabu wanaouawa ni waislam kwa wakristo kwa wapagani.
Na lile ni jambo la kidiplomasia usivichanyane mkuu.
Sasa mambo ya kiimani yanaingiaje na polisi mkuu?Police njoeni muanze na huyu alihusika kumteka mzee kibao
Watu wa bid'aa hawawezi kukuelewa kabisaaaShirk hiyo
Ongeza na za'afarani 😄 🤣Nipo tayari kuwapatia chungu kipya, ndimu, sindano na mnyama mwenye miguu minne.
Mkuu King Kong III umenikumbusha kisa hapo kwa Mke wa Mpemba. Mpemba alikuwa ni Mvuvi anaweza akaondoka hata mwezi nyumbani kwake ni maeneo ya Buguruni tu pale. Alikuwa na mke mkali sana yaani Demu pisi ya maana kuna Jamaa yangu alitumia njia anazozijua mpaka aka.tongoza yule Mwanamke akaingia kwenye line. Siku ya kula mzigo Jamaa tulikuwa naye bar fulani akampigia yule Mke wa Mpemba akaja pale Bar kwa bodaboda jamaa akalipia 2000 ya boda, akaniagizia chipsi kuku nusu nikanywa na bia mbili, Mwanamke akala chipsi mayai na redbul na kuna jamaa mwingine tulikuwa naye akanywa pepsi na ugali nyama choma na Mshikaji alikuwa amelipia room 35,000 kutokana na muonekano wa yule Mwanamke. Walipoondoka kwenda lodge jamaa kwa mujibu wake alipo mvua tu nguo na alipoliona apple stimu zote zilikata na mnara ukarudi 0 G tena. Jamaa alilaumu ametoboka hela kibao. Na mashine jamaa iligoma kusimama kama miezi mitatu tena kwa kuhangaika sana kwa waganga ndio ikaamka tena. Usicheze na mke wa mpemba
Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma.Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ninaweza kusamehe demu niliyemfumania ila sisamehi inapohusisha baba au mama. Watoto wa huyo mzee aliyeuwawa hawatakuwa sawa tena kisaikolojia.Duh una hasira mbaya hufai kua kiongozi kma mama samia
Na matokeo umeyapna,Unanikumbusha waislam walimkaliia chini .kila akitajwa jina lake watu wanaitiikia laana tul laah