Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Hujaelewa maana ya Albadiri kumbe ndio maana unauliza maswali ya aina hiyo.
Albadir huwa haisomwi hovyo hovyo kama kununua Soda dukani huwa unamsomea mtu pale inapothibitika amekufanyia uovu uliokithiri na ukimsomea mtu kwa kumsingizia kosa inakurudia mwenyewe sasa kwenye ishu ya Muungano tulikubaliana wote tuungane hakuna mwenye kosa hapo utamsomea nani sasa
Sasa mbona kutwa baadhi ya wapemba na waunguja kutwa wanaimba Wimbo kuwa huu muungano dhulumati na wizi mtupu Tanganyika inaibia Zanzibar na Pemba si waporomoshe alubadiri uvunjike
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Kumekucha !Albadir Kurjuaan ni Hatari sana !
 
Sasa mbona kutwa baadhi ya wapemba na waunguja kutwa wanaimba Wimbo kuwa huu muungano dhulumati na wizi mtupu Tanganyika inaibia Zanzibar na Pemba si waporomoshe alubadiri uvunjike
Muungano kaunganisha nyerere na karume sasa utamsomea nani hiyo duwa
 
Ugumu wa maisha upi? Ukiwa mvivu lazima upate ugumu
Mvivu wa marekani na mvivu wa bongo mateso yao hayafanani.
Mvivu wa bongo anaweza akawa chawa maisha yakasonga anakula na kulala vizuri ila mvivu wa marekani atalala chini ya madaraja hatoweza kumudu kodi ya nyumba,chakula hatomudu,baridi itamchapa usalama wake utakuwa mdogo
 
Mkuu ushafika au unacheki kwenye movie😆
 
Hio dua lazma kwanza msomaji awe msafi kwelikweli, na iliwezekana sana enzi hizo kwa sasa labda waroge ila kukuta mtu msafi wa kukusomea albadili ikafanya kazi kwa sasa ngumu
Wapo sana tu !
Wabaya ni wengi lakini na wema wapo sana tu !
Kamata hiyo !
Wapo mawalii wa Mungu hata wao wenyewe hawajijui !
Watu wema wapo katika Dini zote !
 
Sasa mbona kutwa baadhi ya wapemba na waunguja kutwa wanaimba Wimbo kuwa huu muungano dhulumati na wizi mtupu Tanganyika inaibia Zanzibar na Pemba si waporomoshe alubadiri uvunjike
Hiyo ni mambo ya ushabiki tu kama simba na yanga ila wanautaka muungano.
Ni kama wakina Haji Manara wanavyokuwa wanaapa kwamba siku mkiniona nimeahamia Yanga mnichinje shingo yangu haimaanishi ni kweli anaichukia Yanga.
 
Hatishiki mtu apa, kisa hard top , na silaha za kijeshi wakati nje ya uwezeshwaji ni pumba tu , kama ummeua ndugu ,baba ,babu ,jiandaeni ,mtavuna mlicho kianzisha ,tukutane baada ya siku 47 nipo hapa jf sana mpaka mda huu
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Tanga waneanza kuwa makini na wanaonesha hekma kubwa dhidi ya udhalimu wa CCM.
 
Back
Top Bottom