Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Kwenye uonevu hata wakifabya ushirikina kuna shida gani?
 
Ni namna TU ya kuwatisha watu kisaikolojia hususani wasiofahamu uislam
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
 
39:65

Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.

Hii ndo adhabu ya mwenye kufanya shirki mtu ambae ana akili hawezi kuziporomosha amali zake za miaka dahari
 
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Usiwakatishe tamaa.
 
Police njoeni muanze na huyu alihusika kumteka mzee kibao
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Hao wazee wa pemba uliowasifia nao watafanya "dua ya ulinzi" nadhani nimeeleweka so mpaka hapo ni 0:0
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
God Bless Tanganyika
 
Back
Top Bottom