Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Albadiri sio Dua , bali ni uchawi wa kiarabu. Ndio maana siku zote inasomwa kuleta madhara tu na sio manufaa. Huwezi sikia mgonjwa akasomewa albadiri ili spine au mwanafunzi akasomewa albadiri ili afaulu mitihani. Albadiri ni uchawi.
Kwahiyo uchawi huwa kwa ajiri ya kuleta madhara tu na dua zote huwa ni za kheri?
 
Kuna dawa ya miti ipo Iringa huku inauwa kila kiumbe hai, hadi kuku, sisimizi na miti au mazao ya wahusika.
 
Walishindwa kwa maana ipi? Kwamba waliroga ila uchawi ulidunda au ulivyowaambia hawakufanya kitu chochote kile? Hebu elezea tuelewe huo mkasa wako.
 
Hivi hiyo abdali inasomwa kwenye kuruani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…