Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Albadiri sio Dua , bali ni uchawi wa kiarabu. Ndio maana siku zote inasomwa kuleta madhara tu na sio manufaa. Huwezi sikia mgonjwa akasomewa albadiri ili spine au mwanafunzi akasomewa albadiri ili afaulu mitihani. Albadiri ni uchawi.
Kwahiyo uchawi huwa kwa ajiri ya kuleta madhara tu na dua zote huwa ni za kheri?
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Kuna dawa ya miti ipo Iringa huku inauwa kila kiumbe hai, hadi kuku, sisimizi na miti au mazao ya wahusika.
 
Miaka 27 iyo pita nishatoa nafasi kwenye kijiji fulani maarufu waniloge wakashindwa naomba na wewe usome hiyo kitu nife mkuu, hakuna mtu anaweza kuniaminisha mambo ya kipumbavu kama ya dini na uchawi nikafuata eti kisa tu kanitishia,japo kibinadamu natambua dhamani ya mtu.
Walishindwa kwa maana ipi? Kwamba waliroga ila uchawi ulidunda au ulivyowaambia hawakufanya kitu chochote kile? Hebu elezea tuelewe huo mkasa wako.
 
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Hivi hiyo abdali inasomwa kwenye kuruani au?
 
Back
Top Bottom