Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Inasomwa lini? Na baada ya kusomwa inachukua muda gani kuanzia kuleta matunda yake??Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga