Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

1000035820.jpg
 
Baada ya kisomo mkungu hutundikwa faragha, jinsi ndizi zinavyodondoka ndiyo jinsi msururu unavyokwisha,inshaallah, waazime masheikh kutoka mombasa na Somalia kazi itamatike uzuri sana.
Kabisa haya mauaji yameumiza wengi! Mimi ningeomba mikoa yote kwa mila zao wale wazee wa mila wafanye kitu! Wapukutike watu..watu wanaua wenzao kirahisi rahisi utafikiri dunia ni yao.
Haikubaliki hii..! Hawa jamaa Wafe
 
Niliwahi kuambiwa kuwa huko Makete, mtu akidhulumiwa uhai au mali yake, kuna mtu alikuwa akiitwa Mwakipande. Inagongwa tu kengele, idadi ya milio ya kengele ndiyo idadi ya watakaohitimisha safari yao ya Duniani.

KUle unaambiwa, hata ungetaka wote iwe siku moja, wao mpaka hata wana wa wana wao wanatoweka. Lakini kuhusisha ndugu ambao pengine hawana hata habari kuwa ndugu yao, baba yao, kaka au mdogo wao amekuwa mtekaji na muuaji, siyo jambo jema.

Fikra ya haya yote ya kudai kisasi kwa watekaji na wauaji, yanasababishwa na Serikali, kuwakumbatia mashetani.
 
Back
Top Bottom