Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kisomo mkungu hutundikwa faragha, jinsi ndizi zinavyodondoka ndiyo jinsi msururu unavyokwisha,inshaallah, waazime masheikh kutoka mombasa na Somalia kazi itamatike uzuri sana, wapatikane wazee ambao siyo wazinifu.Hiyo ya mkungu ikoje hiyo..🤣
Kabisa mkuu ,kuishia kusoma hayo madude ni vitisho vya kitoto na kuficha ushahidi kupatikana.Kweli kabisa.
Kabisa haya mauaji yameumiza wengi! Mimi ningeomba mikoa yote kwa mila zao wale wazee wa mila wafanye kitu! Wapukutike watu..watu wanaua wenzao kirahisi rahisi utafikiri dunia ni yao.Baada ya kisomo mkungu hutundikwa faragha, jinsi ndizi zinavyodondoka ndiyo jinsi msururu unavyokwisha,inshaallah, waazime masheikh kutoka mombasa na Somalia kazi itamatike uzuri sana.
Kufa si adhabu mkuuWacha wafe tu
Acha iwe tuAlbadiri ni ushirikina
Hivyo hivyoSio kweli hmna chochote ni ushirikina tu kma wengine wanavoenda kwa waganga
Kuna kisa cha kutisha kiliwahi tokea Pangani Tanga miaka hiyoo mpaka wazee wa mji wakapiga marufuku wasirudie tena sasa wakirudia kile kisomo ambao walishuhudia yale mambo wenyewe waliogopa
Vipi Waarabu hawaitumii kwa wayahudi huko Gaza?? Hawaifahamu?? Au wayahudi wana kinga kubwa??Wanawake na watoto wanakufa kila siku huko Gaza! Vipi Marekani na China??Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil
Kwani wazee wanahusika vipi kwenye uchunguzi?Kwa hiyo sasa tuachane na uchunguzi tujikite kwenye albadil!?
Mkuu subiri.. kwenye tawala iliyopita albadiri ilifanya kazi kama hufahamuHuu ndio ujinga wetu Africa, waarabu na dini yao wameshindwa kufanya kwa wazayuni wanauwawa kila siku kwa kupigania haki yao ,ndio nyie wamatumbi wakuletewa dini mfanye😅😅😅😅😅😅