Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Inasomwa lini? Na baada ya kusomwa inachukua muda gani kuanzia kuleta matunda yake??Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Akili za kuambiwa changanya na zako! We jichanganye siku uingie anga za watu ndo hutajua ujui.Nakuunga mkono hoja yako.
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Safi sana. Mungu atawasikiliza na karma itafanya kazi yake.Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Kikubwa awe upande wa haki.......wahehe wanaijua hii kituYaani mtu msafi kwelikweli amuombee mtu ili mabaya yamkute?
Usafi sasa wa mtu huyo u wapi sasa?
Who can bring a clean thing out of an unclean?
Oya tutakusomea na weweTangu lini mshirikina akawa msafi?! Albadiri ni uchawi mwanzo mwisho la kusikitisha ni namna hao wasomaji wa albadiri wanavyopewa heshima ya ushekhe wakati ni wachawi wakubwa!
Na labda wanaemsomea awe wa ukanda huohuo au imani hiohio....,,,,unaenda kumsomea mtu alishapikwa huko akazikwa na kufukuliwa tena ,ngoma inadundaMasheikh wanajua hayo, dua yoyote ile lazima uwe msafi else unafanya kazi bure
Inampata hadi mwewe.Dua ya kuku ?
Hata mimi ningefanya ushirikina mzito sana ningekua mtu wa karibu wa huyo mzee au hata mtoto wake.. Aiseeh nisingewaacha hao jamaa! Mbinguni tutaenda kwa hesabuHakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu
Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Onyo Kali watalipata kabla ya kufanya hivyoKutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Usimhusishe Mungu na shirk! Kwani haoni yale aliyofanyiwa marehemu hadi wewe umuombe ndipo atende?Safi sana. Mungu atawasikiliza na karma itafanya kazi yake.
Nataamani niungane nao Wahenga hawa tafadhali wafanye haya kwa umakini mkubwa bila kukosea hata hatua moja, waanze kwa kufunga siku 7,kwanza, Aliyefahamu ushenzi huu akakaanao kimya ardhi imchukue, pasi huruma, na damu yake iwe nuru na kirutubisho bora kabisa kwa ardhi, NASHAURI WASOME ILE YA MKUNGU WA NDIZI NDIYO HUWA MARIDADI KABISA PASI NA SHAKA.Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk
Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
Kweli kabisa.Kufa ni asili ya binadamu na kiumbe hai sio adhabu ,ila kwa hili nakemea vikali.
Hiyo ya mkungu ikoje hiyo..🤣Nataamani niungane nao Wahenga hawa tafadhali wafanye haya kwa umakini mkubwa bila kukosea hata hatua moja, waanze kwa kufunga siku 7,kwanza, Aliyefahamu ushenzi huu akakaanao kimya ardhi imchukue, pasi huruma, na damu yake iwe nuru na kirutubisho bora kabisa kwa ardhi, NASHAURI WASOME ILE YA MKUNGU WA NDIZI NDIYO HUWA MARIDADI KABISA PASI NA SHAKA.