Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Watahonga wangapi, hapa Kwa msisi Handeni wazee wanafanya ya kimila zinahitaji ndoo sita za mate hadi Jumamosi , hili nyugu siyo la kitoto, na Pangani nako wamejipanga kivyao lazima kieleweke tu, huko Mbaramo Lushoto nako wazee wameshamaliza tangu jana wanasikilizia matokeo tu.
Naomba uwe mkweli katika hili aisee,natamani sana ili mzizi wa fitina uishe
 
Albadiri sio Dua , bali ni uchawi wa kiarabu. Ndio maana siku zote inasomwa kuleta madhara tu na sio manufaa. Huwezi sikia mgonjwa akasomewa albadiri ili spine au mwanafunzi akasomewa albadiri ili afaulu mitihani. Albadiri ni uchawi.

Ushirikina uliokomaa
Nitangulize kwanza kuwa, Sipendi na Siungi Mkono Ushirikina, na pia sikijuibsana hiki kitu 'Albadir' pamoja na kukisikia Kwa miaka mingi!
Hata hivyo Kwa Uelewa wangu Kuna tofauti Kubwa kati ya DUA na ALBADIR!
DUA Njema ni Sala ya Heri, Baraka, Mafanikio - Mambo yote Mazuri!.....
Lakini Albadiri (kama kweli Iko na inafanya kazi) ni LAANA au Dilaha ya MAANGAMIZI... kama Nuklia vile...!
Huwezi kutegemea Nyuklia ilete Baraka ila Ni ADHABU; KISASI na MAANGAMIZI tu Kwa Waliotenda MAOVU na UONEVU MKUBWA Kwa Watu Wema na Wasio na Hatia...!

Kinachotofautisha tu Albadir isiwe Ushirikina, ni pale Sala hizo zinapofanywa na Watu WEMA, WANAOMJUA MUNGU; WASIO NA MAKANDO-KANDO ya Maisha (Hata kama ni Wakristo)!
Na Lazima Wawe Wameguswa Sana na Wanachokiombea hiyo ALBADIR!

Kinachofanya Ifanye Kazi Mara Moja Si Kafara na Manjonjo mengineyo ya Wasomaji,
Bali ni JIBU LA MWENYEZI MUNGU Maana ndiye Anayesikia Kilio cha Aliyeonewa/ Walioonewa, basi!

Sasa kama Mtu Muovu Akiadhibiwa na MUNGU Hapa hapa Duniani, ukiita Matokeo hayo ni Ushirikina, basi Shauri yako...!

Mimi ni Muumini wa Imani kwamba Adhabu zingine za MANANI Zinatolewa Hapa hapa Ardhini!

Ahsanteni Sana!
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ukiandaa kusoma duwa husemi.

watu hukutana na kufanya duwa.
 
Tukiachana na Kurujuani pia Mafwele ana mtoto wake wa kike yupo south africa anasomeshwa kwa scholarship ya SIR100....Anapandikiza chuki ,SA kuna wahuni wengi sana ,wanaweza wakampa CHUMA na yeye Mafwele afeel uchungu.
 
Watu wanataka closure.
Wanataka kujua wapendwa wao wamefikwa na nini kwa sababu mtu hawezi kutoweka hivi.
Wanataka angalau polisi waseme," huyu mtu tulimkamata,tukamwadhibu,kwa bahati mbaya hakuweza kuvumilia adhabu,na sasa mwili wake tumeutupa kwenye pipa la takataka".
Na pia kujadili,kama mtu ni muovu,basi,ni mateso gani ni halali?
 
Yaani watu wanaoishi Israel alipotembea Yesu na Ibrahimu, hawaombi Albadiri wanatumia Silaha, alafu nyie mnakimbilia kulia lia na Albadiri nani aliwaroga
Albadiri ni mfano wa Guided Missile, ila kutumia mabavu ni Un-Guided sababu wasio na hatia wanaweza kufa bila sababu.
 
Albadir haiwezi kumuondoa asie Na hatia
Ndio maana nikasema ni guided maana inaenda kwa mlengwa tu, ila tukisema tufanye vurugu jua wataathirika ambao hata hawana interest na ugomvi wetu hio ndio inakuwa ni vita sasa kama ya israel na iran.
 
Back
Top Bottom