Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

Sio uwanja wa mikutano ni wa ndege au kiswahili hujui tofauti ya uwanja wa mpira au wa hadhara na uwanja wa ndege ? Chadema you are so stupid.Kilimanjaro international airport huwa mnaitumia kwa mikutano ya kisiasa au kuaga Ndesamburo?
Aisee wewe inawezekana una akili ndogo kwelikweli. Uwanja uliosemekana ni mdogo ni wa moira! Hasira hazitamfifua marehemu.
Mm siyo chadema japo siyo kosa kuwa. Ni mtanzania mpenda haki. Sishabikii watu nashabikia taasisi imara hilo dubwashaenu halikujenga taasisi. Lilejijenga lenyewe .
 
Ijumaa 26th of March 2021

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Eeenh Heee!
"Legends,"? There has to be a new meaning for the word.

If they cannot die alone, that means it's inevitable that people will still die irrespective of where they are!

'Legend' means extremely famous person! Don't you believe that the departed was famous? If LEGENDS are escorted it must be where they are and not anywhere else as you want us to believe!
 
Kwa kweli aliyepanga utaratibu wa kuzungusha mwili, sijui nimwiteje!!

Kila aliyewahi kukumbwa na msiba, anajua tension na majonzi ya kioindi cha namna hii, na nini hasa wafiwa wangependa iwe. Kuutembeza mwili wa marehemu kama bidhaa, kwa kweli si miongoni mwa mambo ambayo mfiwa yeyote angependelea.

Tangu lini marehemu anazungushwa kuwafuata walio hai? Ni kumkosea heshima marehemu na wanafamilia.

Pole sana Janet, nadhami hukutegemea siku moja itakuwa hivi. Mwenyezi Mungu akujalie moyo mgumu ili kuyapokea mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu.

Tunamwomba Mungu akupumzishe kwa amani John Magufuli.
 
'Legend' means extremely famous person! Don't you believe that the departed was famous? If LEGENDS are escorted it must be where they are and not anywhere else as you want us to believe!
Ngoja nikueleze jambo.

Watu wanakufa kwa uzembe wa hao wanaowakusanya watu hapo, na sio kwa sababu nyingine yoyote.

"Fame" can cut both ways; good or bad.
"He could be famed to be brutal" - that is being famous too.
 
mazishi ya Rais yanakua mpaka na mizinga... watu wakae nyumbani!
Haya sasa, mizinga inarindima kijijini ambako watu hawajawahi kusikia milio ya aina ile, na wanaanza kuvurugana na kutimua mbio huku wengine wakianguka chini, kukanyagwa na kufa - hapo mjinga mmoja anajitokeza kusema watu wamekufa kutokana na marehemu alipendwa!
Alikuwa eti 'legend'?
 

NINI SABABU YA HIYO MIZINGA KUPIGWA? Kujifanya wewe sio mjinga hakuondoi ujinga wako!
 
Marehemu tulimbeza tuu kumbe aliona mbali,ndiyo maana kulikuwa na mpango wa kujenga Uwanja mkubwa wa mpira kule,alijua kuna mambo ya kitaifa yatakuja kuhitaji spaces kama Uwanja,Hotels, airport ,hospital etc
 
26
 
NINI SABABU YA HIYO MIZINGA KUPIGWA? Kujifanya wewe sio mjinga hakuondoi ujinga wako!
Kuhusu mizinga ipigwe au isipigwe, hiyo haibadili chochote kwenye matokeo yaliyokwishapita.
Hao wanaoweka hiyo mizinga si ndio hao hao aliowaweka kwenye nafasi hizo, sasa wewe unaniuliza mimi nijibu nini?
 
😂 We jamaa hauko serious aisee
Marehemu tulimbeza tuu kumbe aliona mbali,ndiyo maana kulikuwa na mpango wa kujenga Uwanja mkubwa wa mpira kule,alijua kuna mambo ya kitaifa yatakuja kuhitaji spaces kama Uwanja,Hotels, airport ,hospital etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…