Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

Kuhusu mizinga ipigwe au isipigwe, hiyo haibadili chochote kwenye matokeo yaliyokwishapita.
Hao wanaoweka hiyo mizinga si ndio hao hao aliowaweka kwenye nafasi hizo, sasa wewe unaniuliza mimi nijibu nini?

Huwezi kujibu kwasababu wewe ni mjinga ingawa unajifanya sio mjinga.!!
 
Yeye mwenyewe Lisu mbona anazunguka kuzururisha midonda yake ya risasi si angetulia Tanzania mbona anazurura nayo mara Kenya mara Ubelgiji puuu
Anatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!
 
Ushauri murua kwa wazee na wenye magonjwa mengine.

Tahadhari ni bora kuliko tiba.
 
Sasa kama Chato ni padogo mno Je ule ujenzi wa miradi mikubwa ulilenga nini hasa?
Mkuu, hapo issue ni size ya uwanja wa shughuli na umati unaoweza kwenda hapo. Na sio ukubwa wa Chato na uhalali wa miradi mikubwa huko.
 
mazishi ya Rais yanakua mpaka na mizinga... watu wakae nyumbani!
Sio lazima familia ikigoma mizinga haikanyagi mazishi itapigwa kuaga tu

Mizinga hupigwa kabla ya kufukia familia yaweza taka ipigwe kuaga iwe Mwanza au Zanzibar au popote kuaga kuzika waachiwe familia
 
Anatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!
Na Magafuli familia inataka kuagwa bora kama yeye Lisu anavyotafuta mitibabu bora kwa milisasi aliyotwangwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu akagoma kuwapa polisi ushirikiano
Alitoroka bungeni kwenda na mke wa Mtu kumbe mwenyewe anamfuatilia kilipomkuta akaamua kuzunguka na vidonda
 
Itakuwa mdogo wa shetani wewe sio bure
 
Anatafuta matibabu yaliyo bora. Huenda angebaki hapa nchini angefariki!
Kifupi mtu haruhusiwi kumsema vibaya kilema wakati na yeye kilema .Anaburuza maguu yake kutafuta sehemu bora ya matibabu kuna tatizo gani marehemu kutafutiwa sehemu bora ya kuagwa?

Lisu apambane na ulemavu wake aache kusuta marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…