Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake.

Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa kikwete na Mangula kwa wakati huu.

Chondechonde, Makosa mliyofanya mwaka 2015 kwa kumleta magufuli yalikuwa ni zaidi ya mateso kwa taifa, na kama mungu asingeingilia kati taifa lingekuwa kwenye mateso kwa MDA mrefu sana, isingekuwa rahisi kuponyoka kwa ule mfumo ambao kwao ulishaanza kuonekana ndio utendaji wa kutukuka.

Kilichokuwa kinafanyika awamu ya tano kilikuwa hakina tofauti na kilichokuwa kinafanyika Rwanda na kupelekea genocide, It was just the matter of time, tulikuwa tayari tumechukua uelekeo kuelekea kwenye tatizo lenyewe.

Viongozi waliopewa nyadhifa kutuongoza walitufanya tuishi kama tumbili ndani ya nchi yetu, unaamka asubuhi unasali kwa dini zote ili usiingie kwenye mikono yao ukapotezwa.

Chondechonde mama msije mkajisahau mkaturudisha huko tena. nashauri hata Waziri Mkuu,Majaliwa akimaliza mda wake muacheni akalime huko lindi, ndio mazao ya mwendazake hayo.

Tupeni watu wenye hofu ya mungu na kuona kila mtanzania anastahili kufurahia maisha akiwa ndani ya nchi yake.
Kwa sasa watu hawana pesa lakini wana amani na furaha tele. MUNGU NA ASHUKURIWE.

Mungu kamtwaa Magufuli kwa sababu maalum, aliona jinsi watanzania walivyoteseka.

Hawana huo uwezo.Mungu ndie anaepanga yote.
 
Mi siungi mkono hoja, kuunga mkono hoja ni kukubali kuwa Rais wa Nchi lazima atokee CCM

Tundu Lissu yupo anaweza kuwa Rais wala achaghuliwi Na hawa Mama Samia, KIKWETE, MANGULA na Wazee wa CCM​

Yes, watu aina ya Lissu mkuu
 
Mimi nasema Kabila lile alilotoka mwendazake ni hatari kwa nchi hii
Hizi ni kauli na kijinga na kipumbavu, Fikra Kama hizi zimejaa ubaguzi na umimi.

Watu smart na wanaojitambua hawatambuani kwa makabila/dini/Kanda au rangi.

Roho ya kibaguzi haina mpaka leo utawabagua Hawa kesho itarkuwa wale.
 
Mimi nahisi mtu kutoka kabila la kanda nyonyo hafai kabisa kupewa madaraka ni htar kwa ustawi wa jamii
Taja makabila yanayofaa tujue mapema.
Hakuna kitu hatari katika taifa lolote Kama kubaguani.

Kwa mwandiko wako hata nyerere hakupaswa kupewa uraisi.

Siasa za Tz Kama huzijui unaeza ukawa unaandika utumbo
Kwa sisi tuliofutilia namna kikwete alivyosemwa vibaya enzi za utawala wake hadi Dr slaa kidogo awe raisi.

Wala hatuoni maajabu ya magufuli kutukanwa. Africa/Tz tumejaa uongo na unafiki. Ndo maana taifa halipigi hatua yoyote.
 
Mungu ni Alfa na Omega
20210514_173958.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom