Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kufikiria matumbo yenu. Jengeni hoja za msingi zitakolisaidia taifa miaka 50 ijayo.Roho ya kibaguzi alipandikiza jambazi lililozikwa huko Chato
SUBIRI TUCHE TUKUTEKETEZE WEWE NA MASHABIKI ZAOK..WEWE ULIVYOKUWA UNATUNYANYASA WAKATI WA KIKWETE KWA KUTUZURUMU NDO UNASEMA HIVINi kosa pia la taasisi zetu za usalama
Shetani Magufuli alitakiwa kuuawa mapema Sana ili kuokoa nchi na matatizo.
Wabongo baba hata mungu angeonekana wangemrushia maweHawana huo uwezo.Mungu ndie anaepanga yote.
KabisaAmetuumiza sana kiuchumi na kisaikolojia...unaogopa kulalamika kisa kukwepa kupotea ghafla,kukwepa bullet. Yaan ilikuwa tafran
Retired,Wa kumlaumu ni Kikwete! Alichonga kinyago kikamzidi nguvu, vitisho and all kind of frustrations, worries and upheavals!
DuhKatika watu ambao natamani wamfate mwendazake ni Dr.Mpango...ana tabia zote za hila, roho mbaya na udikteta wa Magufuli
Ni ngumu kurekebisha Kwa haraka aliharibu kila kitu. SSH ana kazi kubwa sana.But still kitaa pagumu
Ni ngumu kurekebisha Kwa haraka aliharibu kila kitu. SSH ana kazi kubwa sana.
Mama,Yes you are rubbish
Mama kubwa,,are you sure mbona kama vile tupo under Jk
Walimu,wauguzi,polisi,na kada zingine kutopandishwa madaraja na increament ambayo ipo kisheria nao walikuwa mafisadi ndio maana walifanyiwa vile? Kubali tu ndugu yule dingi alikuwa katili haijawah tokea na alikuwa anatupeleka watanzania kwenye shimo ,yaan ilibaki miaka mitano watanzania tuwe na maisha kama ya watu wa Burundi.Fisadi kuishi kama tumbili ni bahati sana kwake ,fisadi anatakiwa kupigwa risasi
Wewe na nani? Kima weweRubbish. Sisi wananchi tunataka viongozi kama hao kina magu hata wawe 10mil hivi.
Majaliwa kazi yake ilikuwa kuchekacheka tu. Ndugu zake wanadhulumiwa korosho lenyewe linakenua tu.
Mkuu,Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake.
Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa kikwete na Mangula kwa wakati huu.
Chondechonde, Makosa mliyofanya mwaka 2015 kwa kumleta magufuli yalikuwa ni zaidi ya mateso kwa taifa, na kama mungu asingeingilia kati taifa lingekuwa kwenye mateso kwa MDA mrefu sana, isingekuwa rahisi kuponyoka kwa ule mfumo ambao kwao ulishaanza kuonekana ndio utendaji wa kutukuka.
Kilichokuwa kinafanyika awamu ya tano kilikuwa hakina tofauti na kilichokuwa kinafanyika Rwanda na kupelekea genocide, It was just the matter of time, tulikuwa tayari tumechukua uelekeo kuelekea kwenye tatizo lenyewe.
Viongozi waliopewa nyadhifa kutuongoza walitufanya tuishi kama tumbili ndani ya nchi yetu, unaamka asubuhi unasali kwa dini zote ili usiingie kwenye mikono yao ukapotezwa.
Chondechonde mama msije mkajisahau mkaturudisha huko tena. nashauri hata Waziri Mkuu,Majaliwa akimaliza mda wake muacheni akalime huko lindi, ndio mazao ya mwendazake hayo.
Tupeni watu wenye hofu ya mungu na kuona kila mtanzania anastahili kufurahia maisha akiwa ndani ya nchi yake.
Kwa sasa watu hawana pesa lakini wana amani na furaha tele. MUNGU NA ASHUKURIWE.
Mungu kamtwaa Magufuli kwa sababu maalum, aliona jinsi watanzania walivyoteseka.
[emoji3][emoji3][emoji3] watu mmekuwa wasahaulifu sana. Idrissa alichola kikatuni tu cha kumtakia happy birthday akaswekwa jela.Mkuu,
Umeelezaaa...vile kichwa chako na akili zako zilivyokutuma.
It is in principle you cannot accuse a dead person because he isn't there to defend himself.
Jambo hili au malalamiko yako yalitakiwa yalengwe kwake moja kwa moja kama angelikuwa hai lakini hata angelikuwepo usingelithubutu kunyanyua mdomo wako huna ujasiri huo, hiyo mwachie Antepas.
Kuhusu uongozi hakuna malaika katika uongozi kila mwanadamu ana kasoro zake hakuna Raid ambaye hamjamlaumu. Hats wewe ukipewa urais iko mahali utaboronga.
Mimi naona kikubwa alitengenexa discipline sio ile maisha mlizoea wizi na kudharauliana, wapenda maovu ndio mnamlaumu hakuna jingine.