Wazijua siri za Vatican?

Inakuaje siri na wewe tayari unajua na hapa umewambia wana JF zaidi ya 100,000..kuna siri tena hapo kweli? Au maana ya neno siri imebadilika kuendana na mabadiliko ya tabia nchi?
 
...nilipoona YESU Nimeongeza asilimia za kuamini kumbe kweli YESU yupo
 
ungeandika huko facebook ungepata wafuasu, huku JF tunakuona mwenda wazimu kuleta taarifa bila source, wala reference, unasema ni siri, wewe umejuaje? halafu taarifa zinaandikwa kwa mtiririko unaoeleweka wewe umeandika kama udaku... kafanye tafiti tena uje na report kamili, tukutofautishe wewe na kina mau kitenge
 
Punguza bhangi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Punguza utapeli
 
Punguza utapeli. Mwenzako anasema wameificha vitabu 80 wewe unasema wameificha vitabu 11, tumuamini nani?
 
Dah kumbe Yesu alikuwa anapeleka moto kisiri siri kwa mariam magdalena mmh haya mambo ya mbususu yajawahi acha mtu salama duh vipi kuhusu paulo hakuwa na pisikali ya kiyunani kweli?
Na haya ndio ulikuwa unataka kufanya dhihaka. Umezunguka wewe ili uje umfanyie dhihaka Yesu Kristo. Shauri zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…