Inaonesha hujui kitu. Wewe unadhani democrasia ni wengi wape katika masuala yanayohitaji taaluma! Ni demokrasia maana Waziri Mkuu haamui yeye mwenyewe, kuna jopo na wanajadiliana bila kitu kinaitwa ndiyo mzee. CC joexDemocrasia au kikundi cha watu wenye nguvu .. wanachi wanaandama kila siku umeshaawahi kuona ikimtisha netanyahu .. na hata hili la bar nguvu ya umma imeshindwa kuzuia hilo kwa hiyo dhana nzima ya democrasia ni zaid ya hilo