Inaonesha hujui kitu. Wewe unadhani democrasia ni wengi wape katika masuala yanayohitaji taaluma! Ni demokrasia maana Waziri Mkuu haamui yeye mwenyewe, kuna jopo na wanajadiliana bila kitu kinaitwa ndiyo mzee. CC joexDemocrasia au kikundi cha watu wenye nguvu .. wanachi wanaandama kila siku umeshaawahi kuona ikimtisha netanyahu .. na hata hili la bar nguvu ya umma imeshindwa kuzuia hilo kwa hiyo dhana nzima ya democrasia ni zaid ya hilo
Ndivyo nchi inatakiwa kuendeshwa siyo hapa ukitofautiana kwa kauli na Samia off you goRussia nao mtindo uleule tu
Kuna baadhi ya nchi matendo yao is like hatupo nao sayari moja wallahKwangu mm process nzima ya kumfukuza kazi Ronen Bar, inadhihirisha ukomavu wa democrasia nchini Israel. Kwa huyu Bw. Walihitilafiana na Netanyahu tangu October 7, lakini bado kazi zimeendelea mpaka kufanikisha hatua hii iliyofikiwa. Mbili uamuzi hakuufanya Netanyahu pekee bali Baraza la Mawaziri pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara ambaye anatofautiana na Netanyahu. Na mwisho termination ya Ronen is not that abrupt bali amepewa hadi April 8 to vacate office.
Mfamaji haishi kutapatapa.Netanyau inabidi achunguzwe amemfuta kazi wazir wa ulinzi, amemfuta kazi mkuu wa majeshi, amemfuta kazi mkuu wa usalama, na siku za hivi karibuni inategemewa atamfuta kazi mkuu wa MOSSAD.
Watetezi wa israel mko vzrUnajua maana ya democrasia wewe au umegubikwa na kariri za shetani kaallah na Paedophile wake Mohammad. Nikupe somo. Inaanzia na uchaguzi huru, hapo kila mwananchi hushiriki. baada ya hapo mnawaachia wabunge na baraza la mawaziri; masuala ya kisheria mnaiachia mahakama. Na kama nyinyi wananchi mna kitu cha ziada mnaweza ku influence serikali/bunge/mahakama kupitia maandamano. Vitu vyote hivyo viko wazi ISRAEL. UJE UBISHE KWA UPUMBAVU WAKO WA KIAALLAH
Yeah. Wamedai kuwa huyo bwana ni "Soft" hususan kwa kilichotokea 7Okt. 2023 kwamba hakutoa Rection iliyotarajiwa ya "Majibu makali " dhidi ya kitendo kile.Uzuri wa system zao ni kuwa kesho anaweza kurudi tena