pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
Tuache mtima Nyong'o, Waziri gani, sio, mwizi ndsni ya CCM? Au, kada gani hajafaidika na wizi, serikalini? Hata warioba, vijukuu vyake vipo seriaklini, au kwenye nyadhifa nyeti kutokana na matumizi mabaya ya madaraka!Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Siyo kwamba huo ndiyo urefu wa kamba yake?Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Naunga mkono hojaHaya magazeti na Kigwa wote lao moja, Kigwa anafanya hivyo kwa lengo la kutafuta teuzi, wakati hayo magazeti yanafanya hivyo ili yapate wateja.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ana miliki kihalali? kwanini apate cheo ndiyo aanze kumiliki kwa fujo?Mtu kumiliki nyumba dubai mnaona ajabu
Watu wana miliki nyumba usa,Canada,UK huko
Ova
Samia waliwasamehe wote walio tajwa kwenye report ya CAGLeo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Serikali ya Samia kila mtu ni mwizi kuanzia juu mpaka chiniLeo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
🤣🤣Si umtaje? Unaogopa nini? Na ukisha kumtaja. Utwambie nawe unamikakati ipi ya kununua jumba kubwa zaidi ya hilo kule Texas!
Cha ajabu ukiiba laki Moja kisa njaa wanakufukuza kazi bila huruma kabisaSamia waliwasamehe wote walio tajwa kwenye report ya CAG