bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Fisadi yupo juu ya sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri Jumaa WaziriNi waziri gani? Usije kukuta ni mtu anaitwa Waziri kwa jina
Wewe umemjuaje kwamba kaanza kumiliki kwa fujo baada ya kupata cheo?Unamjua?Au redio mbao tu ambazo zimezidi na zinapaswa kushughulikiwa.Ana miliki kihalali? kwanini apate cheo ndiyo aanze kumiliki kwa fujo?
Wewe umemjuaje kwamba kaanza kumiliki kwa fujo baada ya kupata cheo?Unamjua?Au redio mbao tu ambazo zimezidi na zinapaswa kushughulikiwa.
???????Kwa nini asiende kujiajiri?
Anaitwa nani!? Mbona hakuna sehemu aliyotajwa!?Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Hapo gazeti limeandika takukuru yafanya uchunguziKama hawafanyi uchunguzi basi wanajuana.
VIONGOZI WABADILIKE AISEE! NCHI INATAFUNWA SANA HII.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ninamuona hapo kwenye picha kulia amevaa kapelo.Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
SIO AJABU! Tattizo hana biashara wala chanzo chochote cha uwezo wa kumiliki mali hizo. MAANA YAKE NI MWIZIMtu kumiliki nyumba dubai mnaona ajabu
Watu wana miliki nyumba usa,Canada,UK huko
Ova
Unajua kwamba hana biashara wala chanzo chochote cha uwezo wa kumiliki mali hizo?Tutajie jina?SIO AJABU! Tattizo hana biashara wala chanzo chochote cha uwezo wa kumiliki mali hizo. MAANA YAKE NI MWIZI
Hakuna jina hakuna nyumba. Hizi ni porojo tu kama porojo zingine.Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Ziko wapi?SIO AJABU! Tattizo hana biashara wala chanzo chochote cha uwezo wa kumiliki mali hizo. MAANA YAKE NI MWIZI
We ni mjinga sn, kwamba watu hawaoni, kwanini asiache kazi ya uwaziri akasimamie biashara zake? Mbona hatumlalamikii Mo au GSM?Wewe umemjuaje kwamba kaanza kumiliki kwa fujo baada ya kupata cheo?Unamjua?Au redio mbao tu ambazo zimezidi na zinapaswa kushughulikiwa.
Sasa huko USA na Canada si kawaida TU bei za nyumba! Dubai hata maji ya kunywa TU ni bei ndio uje ununue nyumba!Mtu kumiliki nyumba dubai mnaona ajabu
Watu wana miliki nyumba usa,Canada,UK huko
Ova
Sikuwahi kujua kwamba kumiliki nyumba Dubai ni haramu 😂😂😂😂Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.
View attachment 2881294
Na mimi naona ajabu nimesoma sijaona jina la mtu!!Hapo ametajwa wapi sasa?