Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.

Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii inaonyesha wizi ni kama umehalalishwa ktk kipindi hiki.

View attachment 2881294
Isije kuwa kapata uteuzi wa mbuzi wa kafara,tukumbukeemoo kauchafuzi hakaaako mbali😝.Sasa danganya toto ya tungalipooo kazini ni nyiiingii🤣
 
Mtu kumiliki nyumba dubai mnaona ajabu
Watu wana miliki nyumba usa,Canada,UK huko

Ova
Mrangi hata mimi namiliki nyumba USA lakini sitii mguu kumiliki nyumba Dubai,hivi unajua zile nyumba za kisiwa bandia cha umbo la mnazi wanaomiliki ni watu wa aina gani? au unadhani ndio hizi nyumba za mbao ambazo kila mtu anamiliki au kuishi huko USA au Canada? uliza watu wanaomiliki nyumba Dubai ni wenye ukwasi wa aina gani.umefanisha nyau na simba mkuu.
 
No miendelezo wa ile kauli iliyotolewa kwamba kila mtu ale kulingana urefu wa kamba yake!!!
 
Ni 'imaginary' waziri ndio anamiliki nyumba su jumba au kasri huko Dubai
Fanyeni kazi na punguzeni majungu kupoteza wakati kwa uvumi, aliosema amseme ni nani huyo.
Mbona watanzania wanamiliki vingi vya thamani ndani na nje ya nchi.
 
Kuna kiongizi yeyote WA CCM ambaye sio mwizi?kuanza mitaa Hadi taifani?huku mitaani wanakula pesa za kupaki Magari na frem za buashara
 
Mrangi hata mimi namiliki nyumba USA lakini sitii mguu kumiliki nyumba Dubai,hivi unajua zile nyumba za kisiwa bandia cha umbo la mnazi wanaomiliki ni watu wa aina gani? au unadhani ndio hizi nyumba za mbao ambazo kila mtu anamiliki au kuishi huko USA au Canada? uliza watu wanaomiliki nyumba Dubai ni wenye ukwasi wa aina gani.umefanisha nyau na simba mkuu.
Lakini cha kuuliza ni: Unamiliki nyumba Dubai kwa sababu zipi hasa? Kufanyia biashara; labda!
Kimaisha, utakaaje Dubai na kujiona bado uko hai?
 
Lakini cha kuuliza ni: Unamiliki nyumba Dubai kwa sababu zipi hasa? Kufanyia biashara; labda!
Kimaisha, utakaaje Dubai na kujiona bado uko hai?
Punguza wivu. Kama umekwama laumu walezi wako
 
Lakini cha kuuliza ni: Unamiliki nyumba Dubai kwa sababu zipi hasa? Kufanyia biashara; labda!
Kimaisha, utakaaje Dubai na kujiona bado uko hai?
No peace of mind !
Hiyo ndio huwapa shida walafi wengi Duniani 🙄
 
Punguza wivu. Kama umekwama laumu walezi wako
Hivi unaelewa maana ya "wivu" ni nini? Unaona aina yoyote ya wivu katika maneno niliyo andika hapo?
Kwa taarifa yako, mkuu 'Andrew', mimi sijakwama popote, kwa hiyo ondoa shaka yako katika hilo.
 
Labda kapewa idhini ya kuchukuwa mkopo wa serikali, akautumia kidogo kabla haujafika nyumbani. Ila mkopo utafika ukiwa umechoka sana.
 
Uchunguzi wa Takukuru Bado lakini tayari mshamwita fisadi hapo ndipo changamoto inaanzia!

Kama mtajwa Amekua mbunge Kwa awamu hata nne,akawekeza mapesa yake Benki Kwa muda huo ,Sasa atashindwaje kumiliki jengo Dubai!!?

Fikra huru hizi!
 
Back
Top Bottom