Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Si umtaje? Unaogopa nini? Na ukisha kumtaja. Utwambie nawe unamikakati ipi ya kununua jumba kubwa zaidi ya hilo kule Texas!
Kumbe wanashindana !
Lakini ni kazi bure tu !
Kama walizipata kiharamu hawatapata peace of mind throughout their lives !
KARMA !
 
Nwaapieni hakuna wa kuchunguza mtu hapa ndani ya CCM hii!
Takukuru? DPP? Polisi? TISS? hakuna kitu hapa na tusahau hatua kuchukuliwa!
Nani sio mpoigaji ktk awamu hii, kama wapo huenda haizidi 5% ya wote!
 
Nani au taasisi ipi labda unapendekeza imchunguze huyo waziri?

Fikiria ripoti za CAG zinazowekwa wazi, madudu yake huwa hayachunguzwi kivile, sasa nani atamchunguza mtu aliyefanya usiri kumiliki mjengo UAE...
Iko vile ,
Bandugu !
 
Back
Top Bottom