Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Nani au taasisi ipi labda unapendekeza imchunguze huyo waziri?

Fikiria ripoti za CAG zinazowekwa wazi, madudu yake huwa hayachunguzwi kivile, sasa nani atamchunguza mtu aliyefanya usiri kumiliki mjengo UAE...
Nafikiri ni kati ya walio wizara ya manoti
 
Tuache mtima Nyong'o, Waziri gani, sio, mwizi ndsni ya CCM? Au, kada gani hajafaidika na wizi, serikalini? Hata warioba, vijukuu vyake vipo seriaklini, au kwenye nyadhifa nyeti kutokana na matumizi mabaya ya madaraka!
Wanatofsutiana kiwango cha wizi tu,
Sasa mtu anakuwa mbunge/waziri kwa miaka 20+, unashindwaje kuwa na bilioni 300+? Lets be serious jamani, mbunge wa njombe, Yule aliyekuwa Raisi wa barick alikuwa analipwa 100M kwa mwezi! Sasa deals ngapi alifanya na maofisa wa wizara za madini?
Kama wafanyakazi wa kawaida tu TRA, wanamiriki vigorofa hapa mjini, sembuse boss wao waziri!
Mkuu unaonekana na wewe ni mmoja wapo wa majizi haya yaliyopo serikalini.

Waziri unapataje 300billion kwa miaka hata 30 kwa kutegemea mshahara wako halali?

Wacha kudanganya watu ndugu yetu maana watanzania wa leo siyo wale wa zana za mawe.
 
SIO AJABU! Tattizo hana biashara wala chanzo chochote cha uwezo wa kumiliki mali hizo. MAANA YAKE NI MWIZI
Huu ni ukweli mchungu.

Bahati mbaya watanzania wengi hawajui hilo na viongozi wezi wanatumia huo mwanya kuiba bila hofu yoyote.
Wananchi wasiojua wanawaita hao wezi majina ya kuwatukuza/pongeza kama WAJANJA, WATOTO WA MJINI na mengine ya kuwasifu kwa huo wizi wanaofanya.
 
Back
Top Bottom