mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mkulima amekuwa akionekana duni miaka yote na ndio sababu ya vijana wengi kuondoka vijijini na kuhamia mijini maana hawakuona faida yeyote ya kuendelea kubaki vijijini na kufanya kazi ambayo imekuwa haina tija yeyote kwa wazazi wao !! Sasa vita vya Urusi na Ukraine vinataka kubadili hali hiyo, muda sio mrefu kutoka sasa watu watajua umuhimu wa kilimo na mkulima !! Badala ya watu kujazana mijini watu wataanza kukimbilia mashambani !! Na kazi iendelee !!Waziri usikubali upuuzi huu wa kufukarisha wakulima Ili wazururaji wa mjini wanunue vitu Kwa bei ya chini wakati mkulima aliumia na mbolea kuwa juu..
Mtanunua tuu hata Bei ikiwa milioni madam tuna ziada ya Mazao mbalimbali