Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

Asante. Umeelezea vizuri sana. Lakini utawala wa sasa hawana weledi kama huu. Sana sana utasikia wamezuia ndege au bidhaa za Kenya.
 
Atakuwa hana namba za simu za Wazuri mwenzie
 
Bashe unasubiri taarifa gani mkuu? Wakenya kuwakomesha inapaswa kuwatandika kipigo ambacho watokaa tena kutuchokoza.
 
..time is money. muda aliotumia kupiga blah-blah angeweza kuwasiliana na mamlaka za Kenya na kulipatia uvumbuzi suala hili.

Protocol haimpi ruhusa ya kuisemea inchi/serikali yetu moja kwa moja nje ya mipaka(.
 
Protocol haimpi ruhusa ya kuisemea inchi/serikali yetu moja kwa moja nje ya mipaka(.

..hatakiwi kusema-sema mbele ya camera za waandishi wa habari.

..anatakiwa aanzishe majadiliano/mazungumzo itakayopelekea mahindi ya Tz kuendelea kuuzwa Kenya.

..time is money.
 
Sijui tunakwama wapi!! Mahindi yanapimwa na shirika na viwango KEBS hapo hapo mpakani. Yakikutwa na unyevunyevu hayaruhusiwi kuingia! Hakuna ban ya kuingiza mahindi so waziri mdogo atasubiri sana na hatasikia chochote!!

Tunapenda sana kulazimisha mambo. Kama tulivokuwa tunataka madereva wetu wasipimwe korona na waingie wakati hata wakenye wanaoingia tu wanapimwa!!

Tukaushe mahindi!!
 
Dogo[bashe] anaenda kutembelea mpaka wa namanga, badala ya kuwasiliana na viongozi wenzake kwa upande wa Kenya.

Ndio hapo sasa
Sa sijui wale madereva ndio wana mamlaka au! Tunataka watu wa kupiga kazi kutupa matokeo sio waziri naye hajui eti hajaambiwa acha akae hivyo hivyo[emoji4][emoji1787]
 
Akili ni mali ..... ......
 
Mkuu kabla ya mitandao na Tv za kuyajua hayo unayosema, tulilishwa nyimbo tulizoambiwa ni za kizalendo zenye kusifia neema ya nchi...tukajua sisi ndio namba moja duniani. [emoji2]
 
Watanzania mnaoshabikia Kenya si muhame, muende uko Kenya mnayoishabikia.
Hameni mtuondokee msitujazie nchi, tunaonekana weengi kumbe mengine ni matahiira tu mashabiki ya Kenya.
 
Lakini kimaendeleo Kenya imewapita, mnakwama wapi au mlinyimwa akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…