Watanzania tumejengewa dhana zo hovyo sana,na hii kwasababu
hatuna exposure na hatupendi kusoma ,yani huwa tunadhani tulivyonavyo sisi wengine hawana na kama wanavyo basi vyakwetu ni bora na vingi zaidi ukilinganisha na kokote duniani.
Ukweli ni kwamba tuko kawaida Sana tusiji over rate.Madini kama dhahabu tulionayo huwezi linganisha hata kwa robo na dhahabu ya south Africa.
Gas hii tulionayo ifahamike Urusi ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa gas nyingi duniani.
Sasa unajigamba habari ya mahindi ambayo mmarekani ndio mkulima no moja wa mahindi duniani na huyalima kwaajili ya mifugo.
Tuache ubabe wakijinga kwani kwakufanya hivyo tunaumiza sana wakulima.