johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Hahahaaaa.......!Hizo akili labda umenyimwa peke yako kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.......!Hizo akili labda umenyimwa peke yako kiongozi.
Kuleni tu mahindi yenu maana nyie mna kila kitu, lakini ukweli unabaki palepale uhifadhi wa mahindi Tanzania ni wa kichawi. Kati ya watu wanaokula mishahara bure ni maafisa ugani kilimo.Aliyekupa amekupa tu hata mkitia kila aina ya figisu hamtaweza kwa sababu aliyetubariki ni Mungu mwenyewe
Tuna madini
Tuna ardhi nzuri na tunalima sana tu
Tuna vivutio vya utalii kama vyote
Mungu ametuweka kijiografia kwenye eneo nzuri kuwahudumia nchi zilizoko mbali na bahari
Yaani sijui niseme nini
RAISI MAKINI TUNAE
Hebu mtuheshimu tu hizi figisu hazisaidii jamani ni Mungu huyu ambaye ametupatia vitu vyote hivyo
Kama kweli imedhibitika mahindi ya Tanzania yanao kiwango kikubwa cha aflotoxin basi afya ya Mtanzania mashakani. Aflotoxin husababisha kansa. Aflotoxin kwenye mahindi husababishwa na kuhifadhi kwenye ghala mahindi ambayo hayajakaushwa vizuri(moisture content must be below 13% dry basis for safe storage)
Mlitaka waje wapige magoti kwanza ndipo watoe tangazo?hawakufuata utaratibu katika kutoa tangazo
Wakenya Watakula vinyesi vyao tusubiri tu kuona yatakayojiriAmeenda kujiridhisha kwanza!
Huyu ni Mwenyekiti wa CCM mkoa, halafu kwa mawazo haya unategemea Tanzania kupata maendeleo??Au wakenya wanahasira na tz kwa sababu ya kufurusha nzige wakarudi huko kwao, yawezekana ndio waliowatuma hao nzinge waharibu mahindi yetu.
Akili za ajabu hizi! Hivi umewahi kwenda kwenye maghala ya shirika la hifadhi ya chakula wakati wananunua mahindi ukaona yanavyohifadhiwa au yanavyorudishwa kwa wakulima kwa kukosa ubora? Na yanaporudishwa huko kwa wakulima yanakwenda wapi? Si ndo haya yanayonunuliwa na wafanuabiashara wa kati kupelekekwa Kenya na DRC? Nani anaset kiwango cha uhifadhi wa mahindi kwa kutumia dawa za kuhifadhi ambazo nyingi hazina viwango? Unapomlaumu jirani kwa kumzuia mwanao kwenda kwake, chunguza kwanza tabia ya mwanao.Upo sahihi lakini kuna baadhi yao ushirikiano wao hauna jema nasi na wengi wa mataifa hayo wanasumbuliwa na kijicho
Kwa hili uko sahihi.Ndo maana Mimi sili ugali
Huyu ni Mwenyekiti wa CCM mkoa, halafu kwa mawazo haya unategemea Tanzania kupata maendeleo??
Mkuu hebu kua na kauli za kizalendo kwa hili la kenya ni fitna kama fitna zao nyingine na tukijibu mapigo hao wakenya pumzi itakata mapema sana subiri uoneKapuku Tanzania atamfanya nini Kenya ?
Akitaka taarifa apeleke lori la mahindi NamangaDona kantri bwana kila kitu inakanusha.
Korona hakuna, Mahindi hayana sumu
🤣Akitaka taarifa apeleke lori la mahindi Namanga
Kama kila kitu unadai unacho mwenzako anatumia advantage ya wewe kushindwa kutumia mali zako, kwa akili yako unadhani utakuwa umepungukiwa na nini.Hizo akili labda umenyimwa peke yako kiongozi.
Endeleeni kuchoma moto vifaranga vyaoMkuu hebu kua na kauli za kizalendo kwa hili la kenya ni fitna kama fitna zao nyingine na tukijibu mapigo hao wakenya pumzi itakata mapema sana subiri uone
Japo hatuukubali uongozi wa jiwe lakini Tanzania inapofanyiwa fitna lazma tumuunge mkono anapo deal na washindani wetu kiuchumi
Umesahau ni miaka ya juzi tu walitufanyia fitna kwenye utalii tulipojibu mapigo wakaanza kulia lia.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Hatua stahiki ni kuhakikisha kuwa mazao yetu hayana sumu. Tunatakiwa kuwashukuru wakenya maana hayo mahindi hata sisi tunauziwa. Serikali inatakiwa kuanzisha utaratibu wa ku monitor mazao yetu kabla hayajaingia kwenye masoko ya ndani na nje. Hii sio mara ya kwanza kugundua kuwa watu wako tayari kuhatarisha maisha ya wenzao kwa tamaa za faida ya haraka haraka. Kuku wanalishwa dawa za ajabu ili wawe wakubwa, pombe zinachanganywa na uchafu wa kila namna ili zivutie wateja, samaki kuvuliwa kwa sumu na baruti n.k.Nainu waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuxuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa kuzuia magari yenye shehena.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
====
Arusha. Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amewasili mkoani Arusha kutatua kile kinachodaiwa kuwa Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) imezuia magari ya mizigo yenye shehena ya mahindi kuingia nchini humo.
Taarifa ya zuio hilo imesambaa katika mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa kuamkia leo Jumamosi Machi 6, 2021 ikieleza kuwa magari yamekwama katika mpaka wa Namanga.
![]()
Akiwa katika eneo hilo lililopo Wilaya ya Longido mkoani humo, Bashe ambaye ni mbunge wa Nzega Mjini (CCM) amesema Serikali ya Tanzania inachukulia kwa uzito unaostahili mazao yao kuzuiwa.
"Serikali inafutilia kwa karibu zuio hili niwahakikishie wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kuwa serikali itaendelea kulinda maslahi yake," amesema Bashe.
Nimekuelewa bwashee!Hatua stahiki ni kuhakikisha kuwa mazao yetu hayana sumu. Tunatakiwa kuwashukuru wakenya maana hayo mahindi hata sisi tunauziwa. Serikali inatakiwa kuanzisha utaratibu wa ku monitor mazao yetu kabla hayajaingia kwenye masoko ya ndani na nje. Hii sio mara ya kwanza kugundua kuwa watu wako tayari kuhatarisha maisha ya wenzao kwa tamaa za faida ya haraka haraka. Kuku wanalishwa dawa za ajabu ili wawe wakubwa, pombe zinachanganywa na uchafu wa kila namna ili zivutie wateja, samaki kuvuliwa kwa sumu na baruti n.k.
Hii tabia ya kila wakati kujiona sisi ni victims inatugharimu sana.
Amandla....
Badala ya kufanya ujinga ujinga wa kupayuka nadhani ingekuwa muhumu sana Tanzania ijiulize na iangalie ukweli kama mahindi yana kiwango cha juu cha hiyo sumu. Hiyo sumu ni mbaya na madhara yake yanaonekana baada ya muda mrefu. Na mbaya zaidi yanaweza kumpata mtu yeyote akiwemo wewe unayendika upumbavu hapa. Hatua ya kwanza ilikuwa na serikali kuwasiana na Kenya na pia kuhakikisha imefanya uchunguzi wa kina kuhusu haya madai. Na siyo mahindi tu. Tanzania kuna bidhaa nyingi ambazo zinaweza kuleta madhara kama serikali haitakuwa makini kupima viwango vyake. Vitu kama mboga mboga, nyama, kunde nk ni vitu ambavyo kama madawa yakitumika vibaya wakati wa kuzalisha athari yake inakwenda mbali.Ndio inalipizwa? Subiri majibu atayapata soon