Mbolea ya ruzuku sio mbolea ya bure, Bali ni mpango wa serikali kuinua kilimo ambacho uzalishaji msimu uliopita ulishuka sababu ya gharama kubwa za pembejeo ikiwemo mbolea.Bure ni gharama pia. Subirini mbolea ya magendo kutoka kwa Hichilema au ya kununua dukani tu.
nipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?Mbolea ya ruzuku sio mbolea ya bure, Bali ni mpango wa serikali kuinua kilimo ambacho uzalishaji msimu uliopita ulishuka sababu ya gharama kubwa za pembejeo ikiwemo mbolea.
Raisi na waziri waliweka mpango kazi kuja na hili ili kutoa hamasa kwa wakulima waongeze uzalishaji.
Huenda una matatizo ya akili, kununua 80k ndio kupewa bure? Unaelewa maana ya bure?nipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?
Mkuu hiyo tofauti ya tshs 70,000 inayokuja baada ya serikali kuamua ku-subsidize bei ya tshs 150,000 huoni kama ni nyingi na ni hatua nzuri?.Huenda una matatizo ya akili, kununua 80k ndio kupewa bure? Unaelewa maana ya bure?
Mafuta pia yamewekewa ruzuku, kwa hiyo nayo tunapewa bure?
Ukiwa mpumbavu jitahidi sana ujifiche.
Kwa Mwigulu kila kodi italipwaKodi za Mashamba zinaandaliwa.
Huwa unakurupuka sana, anza kusoma mjadala ulipoanzia.Mkuu hiyo tofauti ya tshs 70,000 inayokuja baada ya serikali kuamua ku-subsidize bei ya tshs 150,000 huoni kama ni nyingi na ni hatua nzuri?.
Wanapima ukubwa wa shamba au ubora wa ardhi?Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.
Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea? Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?
Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!
Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
elimu ya tz inatakiwa ifumuliwe ili muwe na akili ya kuona mambo kwa upeo wa juu. Kwa ufahamu wako unaamini propaganda za ccm kwamba mafuta yana ruzuku ilhali mafuta tz ni ghali kuliko nchi zinazotumia bandari yetu kusafirisha mafuta kwenda kwao?Huenda una matatizo ya akili, kununua 80k ndio kupewa bure? Unaelewa maana ya bure?
Mafuta pia yamewekewa ruzuku, kwa hiyo nayo tunapewa bure?
Ukiwa mpumbavu jitahidi sana ujifiche.
Sasa mbona zisitolewe package zenye uzito unaotosha 70k na zitolewe tuu Bure!?nipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?
Wewe ni zaidi ya mpumbavu, kwani hata mbolea hakuna nchi ambazo Bei ipo chini ya hiyo 70k?? Kwa hiyo unataka kusema pia nayo ruzuku haijatolewa?elimu ya tz inatakiwa ifumuliwe ili muwe na akili ya kuona mambo kwa upeo wa juu. Kwa ufahamu wako unaamini propaganda za ccm kwamba mafuta yana ruzuku ilhali mafuta tz ni ghali kuliko nchi zinazotumia bandari yetu kusafirisha mafuta kwenda kwao?
wewe ni mpumbavu
Mlizoea kupiga saizi hakuna..Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.
Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea? Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?
Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!
Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
tatizo ulipomaliza form two ukadhani umemaliza masters degree....geopolitics yako ni finyu sana. kaa na upumbavu wakoWewe ni zaidi ya mpumbavu, kwani hata mbolea hakuna nchi ambazo Bei ipo chini ya hiyo 70k?? Kwa hiyo unataka kusema pia nayo ruzuku haijatolewa?
Hadi hapa ushaishiwa cha kusema. Sio kazi yangu kukuondolea ujinga ulionaotatizo ulipomaliza form two ukadhani umemaliza masters degree....geopolitics yako ni finyu sana. kaa na upumbavu wako
Na Hadi sasa mpango haujaanza ilihali kuna wakulima wa kilimo cha umwagiliaji mazao yapo shambani Kwa sasa na hakuna mbolea kabisa Kwa vendorsKijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.
Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea?
Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?
Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!
Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!