Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.

Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea?

Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?

Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!

Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
 
Bure ni gharama pia. Subirini mbolea ya magendo kutoka kwa Hichilema au ya kununua dukani tu.
Mbolea ya ruzuku sio mbolea ya bure, Bali ni mpango wa serikali kuinua kilimo ambacho uzalishaji msimu uliopita ulishuka sababu ya gharama kubwa za pembejeo ikiwemo mbolea.

Raisi na waziri waliweka mpango kazi kuja na hili ili kutoa hamasa kwa wakulima waongeze uzalishaji.
 
nipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?
 
Huenda una matatizo ya akili, kununua 80k ndio kupewa bure? Unaelewa maana ya bure?

Mafuta pia yamewekewa ruzuku, kwa hiyo nayo tunapewa bure?

Ukiwa mpumbavu jitahidi sana ujifiche.
 
Mkuu hiyo tofauti ya tshs 70,000 inayokuja baada ya serikali kuamua ku-subsidize bei ya tshs 150,000 huoni kama ni nyingi na ni hatua nzuri?.
 
Huwa unakurupuka sana, anza kusoma mjadala ulipoanzia.

Huyo mtu amesema vya bure gharama, Mimi ndio nikamkosoa na kumuambia hiyo mbolea sio ya bure bali ni mpango kazi wa serikali ili kutoa hamasa kwa wakulima waweze kulima na kuzalisha zaidi kwa gharama nafuu.

Yeye bado akawa anakazania hiyo bei ni sawa na bure, ndio nikamuuliza hiyo 80k ni bure?
 
Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.

Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea? Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?

Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!

Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
Wanapima ukubwa wa shamba au ubora wa ardhi?
 
Huenda una matatizo ya akili, kununua 80k ndio kupewa bure? Unaelewa maana ya bure?

Mafuta pia yamewekewa ruzuku, kwa hiyo nayo tunapewa bure?

Ukiwa mpumbavu jitahidi sana ujifiche.
elimu ya tz inatakiwa ifumuliwe ili muwe na akili ya kuona mambo kwa upeo wa juu. Kwa ufahamu wako unaamini propaganda za ccm kwamba mafuta yana ruzuku ilhali mafuta tz ni ghali kuliko nchi zinazotumia bandari yetu kusafirisha mafuta kwenda kwao?

wewe ni mpumbavu
 
nipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?
Sasa mbona zisitolewe package zenye uzito unaotosha 70k na zitolewe tuu Bure!?
 
elimu ya tz inatakiwa ifumuliwe ili muwe na akili ya kuona mambo kwa upeo wa juu. Kwa ufahamu wako unaamini propaganda za ccm kwamba mafuta yana ruzuku ilhali mafuta tz ni ghali kuliko nchi zinazotumia bandari yetu kusafirisha mafuta kwenda kwao?

wewe ni mpumbavu
Wewe ni zaidi ya mpumbavu, kwani hata mbolea hakuna nchi ambazo Bei ipo chini ya hiyo 70k?? Kwa hiyo unataka kusema pia nayo ruzuku haijatolewa?
 
Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.

Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea? Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?

Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!

Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
Mlizoea kupiga saizi hakuna..

Mbolea zipo kwa ajili ya wakulima tuu.
 
Wewe ni zaidi ya mpumbavu, kwani hata mbolea hakuna nchi ambazo Bei ipo chini ya hiyo 70k?? Kwa hiyo unataka kusema pia nayo ruzuku haijatolewa?
tatizo ulipomaliza form two ukadhani umemaliza masters degree....geopolitics yako ni finyu sana. kaa na upumbavu wako
 
Jana mie nilisema kama kuna wazri mzigo basi Hyu mwamba na kuhakikishieni hili la mbolea ya RUZUKU LINAKWENDA KUMUWEKA WAZI
 
Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.

Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea?

Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?

Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!

Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
Na Hadi sasa mpango haujaanza ilihali kuna wakulima wa kilimo cha umwagiliaji mazao yapo shambani Kwa sasa na hakuna mbolea kabisa Kwa vendors
 
Back
Top Bottom