Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

Sometimes let's be serious!!!!
Mambo binafsi hayo waachie familia wewe utatangaziwa msiba Tu.
 
Mungu amsaidie apone na kuendelea na majukumu yake, Amina
 
Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao
Ni kweli hata VP alipoumwa walificha sana
 
Atajiju
 
CCM wanalogana sn itakuwa wamempiga kitu huyu msomali
Mzee wake alikua fundi,akikosa ubani basi alikua na uwezo mchanga ukawa ubani,mzee katangulia,naona yule chinga ambaye kawa tajiri na ana bakery,kishafanya mambo ya kisukuma,na kaleta pikipiki 500 awagawie CCM,nakutakia afya njema school mate wangu msomali
 
Asome hii Novena ya Mt. Ritha wa Kashia, aisee ndani ya siku 10 majibu atayapata na huo ugonjwa utapona kwa namna ya ajabu.

Mimi nimeshuhudia hili mpaka ikabidi ninunue hichi kitabu kipo home.

Asipuuze hili.

Mt. Ritha wa Kashia, Utuombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…