Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.

Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.

Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao

View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-

Hiv baada ya Bunge la june nchi haitakuwa na waziri , naibu waziri mkuu au waziri mkuu mpaka oktoba 2025, eti?
 
Tusiwe na roho za kichawi
Umasikini ni Laana jamani
Mtu akiumwa muombeeni apone aendelee na maisha

Kufurahia au kupiga ramli sio vyema
Labda malaria who knows kwanini tumuwazie binadamu kifo tu
 
Hayo yote waanzilishi ni watawala na wenye mamlaka wenyewe
Yaani kwa sasa imefikia hatua wananchi wakisikia kiongozi wa serikali anaumwa au kulazwa
Ombi namba 1 ni afe washangilie
Maana watawala wamejawa na dharau dhulma na vinyongo dhidi ya raia wao so kama taifa tumefikia pabaya sana kwa dharau kama za Wassira unategemea wamuombee mini?
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Ameharibu sana kuhusu upatikanaji wa pembejeo za kilimo. Anapiga kelele kama muungwana kumbe ufisadi.
 
Hayo yote waanzilishi ni watawala na wenye mamlaka wenyewe
Yaani kwa sasa imefikia hatua wananchi wakisikia kiongozi wa serikali anaumwa au kulazwa
Ombi namba 1 ni afe washangilie
Maana watawala wamejawa na dharau dhulma na vinyongo dhidi ya raia wao so kama taifa tumefikia pabaya sana kwa dharau kama za Wassira unategemea wamuombee mini?
Ni kweli unayoyasema lakini pia tusiwafuate hata kama wamekuwa na roho mbaya kwa wananchi.

Malipo yapo na watalipa
 
Wananchi ndiyo wengi watawala ni wachache sasa kundi la walio wengi limeshachoka vya kutosha na siku akitokea wa kuwasha moto amini ninachokuambia hapatakalika
Maana kiapo kitakuwa liwalo na liwe potelea mbali
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Bashe ni fisadi sana. Ana ng'ombe wa zaidi ya Billion 1 toka Kenya anafuga. Bado kapiga pesa nyingi kwenye mbolea ,viuatilifu,sugar nk
 
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.

Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.

Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao

View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-

Uzuri hii vita ni CCM wenyewe kwa wenyewe.
 
Huenda hata hao hao CCM wenzake ndio wamemloga Bashe
 
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.

Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri Mkuu Nzega.

Ni muhimu taarifa za kuumwa viongozi ziwe zinatolewa mapema ili wananchi waweze kujua kwani wanalipwa kodi za wananchi hivyo ni lazima umma ujulishwe unaowalipa mishahara viongozi hao

View: https://youtu.be/XA4gO6FL94M?si=jM1kUMjS-eik7A3-

Unawza fedha tu maradhi yanampata yeyote
 
Alikwishawahi kusema Mgojwa yupo ofisini mzima anachapa kazi. Hawezi kushindwa kusema mtu mgonjwa kumbe yupo sehemu anapiga kazi. Huyu jamaa ahaminiki! Natania!
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Nzega mjini kwa ninavofahamu mimi Bashe anakubalika sana. Hii ni taarifa mpya naisikia kwako.
Kwa Kigwangala ndio kuna shida.
 
Back
Top Bottom