Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

INABIDI AOMBEWE DUA NYINGI MAANA KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WANAISHI KWA KUTEGEMEA MADILI YA BASHE WAKO VIONGOZI WA WILAYA NA MIKOA WAKO WABUNGE WAKO VIJANA WA TK MOVEMENT NCHI NZIMA WANALISHWA NA BASHE
Kama ipo hivyo bas homa yake itakua ya kimkakati!!!hii coment ndio ya kukumbukwa sana ikiwa jamaa akaenda huko!!

The state hawapendi wapiga deal wanataka patriotic, visionary,calm intelligent n.k ku push agenda zao!!
Labda tutarajie sequence and series tunapoelekea oktoba!

Nawaza tu mwenzenu kama mlipa Kodi nisiekosa nisinukuliwe vibaya !!
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Hapana kwa jimboni kwake bashe anapendwa sana kwa mengi aliyofanya
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Sasa hayo si mambo ya kitaifa Sasa Jimboni yanawahusu Nini
 
Mpina kamroga
Pia comment hii ni ya kimkakati sana japo unaweza usijue!!

Mpina ndio kete. Pekee inayotumika na the state walau kuleta discipline ya matumizi ya serikali ya sasa!!

Ikiwa kama kinachosemwa na Mpina kikapuuzwa ni rasmi Sasa wale wacheza rafu kusaidia kupiga mnada rasilimali na kupiga deals watarudishwa walipotoka kabla hawajazaliwa Ili kupunguza madhara kwa jamuhuri!!

Mpina ni well informed elite Kwa Sasa na atakua anafanyia KAZI office kubwa inayoweka viongozi Kwa hatamu!!

Naendelea kuwaza kama mlipakodi nisiekwepa Hulu kijijini!

Natoa Rai Kwa viongozi was chama changu ccm tujifunze kufuata maelekezo ya waliotuamini na kutupa Dola tuiiongoze Kwa muda mrefu namna hii!!Tunapokiuka tunakaribisha maturubai na ulaji wa wali was jumuia misibani!

Nawaza!
 
A
Afrika Ugonjwa ni Siri kwa maana wakijua wabaya wako wanaudabo unakuwa plus plus 😳 !!
 
bado hajapona? kuna shida gani maana hata hapa tanga wakati wa samia alikuwa mgonjwa with on off admisiions Isije kuwa mkono wa mtu!
 
Mmungu amfanyie wepesi na apone haraka. Huku kwetu tunanunua sukar 2600 tofauti na mwaka jana.
 
Ndani ya CCM huwezi kutoboa bila kuwa mshirikina au mla rushwa
 
Mnaongea ni fisadi, mwananchi gani wa kawaida anaujua ufisadi wake? Mwananchi wa kawaida hajui ufisadi ukoje kwa sababu ye mwenyewe kipato chake ni cha chini sana na hakikidhi mahitaji yake ya msingi
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete
 
Bashe ni mwizi kama walivyo waizi wengine refer swala la sukari
 
Mradi huu hakuna Value for money!!!
Nenda Kilimanjaro,kaukague haraka iwezekanavyo😳
 

Attachments

  • IMG-20250313-WA0046.jpg
    177.6 KB · Views: 1
  • 20250112_093956.jpg
    20.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250313-WA0046.jpg
    177.6 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0025.jpg
    134.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…