Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

kuna wabunge huwa hawana aibu, utakuta wanatembea na waganga wao wa kienyeji mithili ya wale mabodigadi. Si bora watembee na mabaunsa waliojazia miili yao kuliko kutembea na wachawi hao wachafuchafu
Wengi wanaamini bila tunguli watakuwa hatarini !
Fear of the unknown !
 
Wizara aliyopo inabidi awe makini sana...
 
mkuu mimi ni mluther vipi kitanifaa namimi pls naomba namna ya kukisoma nbox
 
Bashe ni mwizi kama walivyo waizi wengine refer swala la sukari
Nasikia alitumika kama daraja tu. Tatizo la kuumwa lilianza pale alipowaambia Wahusika kila mmoja awajibike kwenye nafasi yake. Na yeye alikuwa tayari kuachia ngazi.
 
Kuna mambo ni siri mpaka Yesu arudi wagonjwa ni wengi na hakuna wakutangaza kiufupi jambo lakujifunza hili ni Taifa na kila mtu anawajibika kwa Taifa lake madaraka ni koti usiyatamani wala usijipe kwanguvu. Amen
Je ndilo ulilokuwa umelitabiri 2025??
 
RIp
 
NAawaza tuu kwa mfano akifa hivi ile ranchi yake ya ng'ombe kule bagamoyo nduguze wanaijua kweli?
 
Kheri yake aliyepandishwa daraja katika dini ya haki.....
 
Mnaongea ni fisadi, mwananchi gani wa kawaida anaujua ufisadi wake? Mwananchi wa kawaida hajui ufisadi ukoje kwa sababu ye mwenyewe kipato chake ni cha chini sana na hakikidhi mahitaji yake ya msingi
Funguka mkuu naona kama una hoja
 
nasikia ana hali mbaya sana jimboni ile kashfa ya sukari, mbolea, pembejeo na magumashi mbalimbali kwenye pamba yamemchafua sana ukiwauliza madiwani wa nzega watakupa abc za bashe utashangaa
Nani kakuuliza hayo kama siyo kihelehele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…