Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

Umeeleweka ulikwenda kujalibu kilimo ukakuta changamoto zake ukaludi ni sawa kabisa.
Shughuri ya kilimo ina wenyewe wewe sio shughuri yako ulitaka kujalibu ukashindwa .
Huwezi kutoa uthibitisho kama hukufanya jaribio
 
Kujaribu? Kwani kabla ya mwekezaji yoyote kuwekeza si lazima afanye feasibility? Hata nchi huwa mara kadhaa wanakuja hapa wawekezaji wanafanya utafiti kama italipa au la, wakiona ni ngumu huwa wanaondoka.

Sio kilimo tu biashara yoyote lazima kwanza ufanye tafiti kabla ya kuanza, ukiona mambo hayapo vizuri unaachana nayo.
 
Asante mkuu.

Sasa kwa nini wasiongeze nguvu na kurekebisha au kuboresha mashamba yaliyoko sasa? Mengi tayari yana:-

1. Yamesafishwa na yanatumika

2. Yana barabara - pretty logical

3. Kutandaza barabara (is it road-networking?) - kama ndiyo; si kuna Wizara husika na mafungu ya bajeti?
Mfano tu; je nani atazihudumia hizo barabara 'za Bashe' huko mbeleni - je ni Wizara ya Kilimo au ya Ujenzi kupitia TARURA au TANROADS? Very suspicious.

4. Umeme - kama hiyo #3 hapo juu.

5. Hati - kama hiyo #4. - hili na la #4 hapo juu; kwa upande mwingine vinaaunganisha doti za "mtandao wa kifisadi" kwenye hii kitu. We cannot miss.

Fikiria tu Wahusika wa #4, 5 na Mwenye mkoba + Bashe.
 
Mashamba yenyewe hayana hati za umiliki. Bashe anachokifanya kitakuja kubackfire vibaya sana.
 
kama wewe umeona hailipi.
Kuna wanaoona inalipa na kuifurahia
Inapotengewa mafungu
Katika serikali hii ndipo budget ya kilimo imeongeZwa Sana watanzania wadau wa sekta hio wanufaike
 
kama wewe umeona hailipi.
Kuna wanaoona inalipa na kuifurahia
Inapotengewa mafungu
Katika serikali hii ndipo budget ya kilimo imeongeZwa Sana watanzania wadau wa sekta hio wanufaike
Nilichokujibu na ulichojibu hapa mbona ni tofauti?

Pia hiyo bajeti umesema ni kubwa, je imesaidia wapi na imesaidia nini? Nimekutolea mfano tu wa mbolea jinsi ilivyofeli
Hebu sasa niambie hiyo bajeti kubwa imefanikiwa kwenye nini?
 
Mashamba yenyewe hayana hati za umiliki. Bashe anachokifanya kitakuja kubackfire vibaya sana.
Hiyo Team Bashe, Januari, Mwigulu + Riziwani....... ni .hatari sana kwa mustakabali wa saasa wa nchi yetu na maendeleo ya vizazi vyetu. Halafu ina ma sub balaa wako pembeni nao wanasubiri 'zamu yao'.
 
kweli kabisa ndugu watanzania tuna ugonjwa wa kupinga kila kitu , Huu mradi baada ya miaka mitatu utawakomboa vijana wengi sana na kizazi kijacho watu watakimbilia mashambani
Sawa ndugu. Hata kama hautawakomboa kikubwa walau Serikali imejaribu kuwaza nje ya box. Kujaribu na kuanguka ndio njia ya kufanikiwa mbeleni.

Unajua watu wengine kila kitu ni kupinga tuuuuuuuu hata kama kuna mwanga mbeleni.
 
Canada ya Nyoko hiyo! Mi pia niko Canada lakini yaonekana hujui kinachojadiliwa hapa! Hayo unayoyasema yangefanyika huko vijijini. Bashe wenu anafyeka mapori na kulima na kuwagawia vijana anaowakusanya toka Dar. Hiyo ndo Canada yako inavyofanya?
 
Umeeleweka ulikwenda kujalibu kilimo ukakuta changamoto zake ukaludi ni sawa kabisa.
Shughuri ya kilimo ina wenyewe wewe sio shughuri yako ulitaka kujalibu ukashindwa .
Huwezi kutoa uthibitisho kama hukufanya jaribio
Kwa hiyo anaowakusanya Bashe ni wakulima au wanafunzi wanaofundishwa kilimo?
 
kweli kabisa ndugu watanzania tuna ugonjwa wa kupinga kila kitu , Huu mradi baada ya miaka mitatu utawakomboa vijana wengi sana na kizazi kijacho watu watakimbilia mashambani
Kwa akili hii nawe unasubili ukombozi wa kilimo kweli? Lazima una tatizo kichwani. Bashe alibebwa na akina rostam na hapo anadeka huku akiiba. Yeye kishafungua mashamba mangapi?
 
Kwa hiyo anaowakusanya Bashe ni wakulima au wanafunzi wanaofundishwa kilimo?
Ni watoto wa wakulima ndiyo maana wako huko .wanafundishwa mbingu Bora za kilimo
watoto wa ma missiontown hawependi kilimo wanasubiri waivishe walulima wawapunje bei
Ikipanda walalamike waziri wa kilimo hafai
 
Canada ya Nyoko hiyo! Mi pia niko Canada lakini yaonekana hujui kinachojadiliwa hapa! Hayo unayoyasema yangefanyika huko vijijini. Bashe wenu anafyeka mapori na kulima na kuwagawia vijana anaowakusanya toka Dar. Hiyo ndo Canada yako inavyofanya?
Upo Canada ipi labda mbeba box jane and wilson au mitaa ya steels ambayo wote ni vibarua wa viwandani mimi nipo mitaa ya King city tunakaaa wafanyabiashara tunaojua kupata taarifa za uwekezaji
 
Upo Canada ipi labda mbeba box jane and wilson au mitaa ya steels ambayo wote ni vibarua wa viwandani mimi nipo mitaa ya King city tunakaaa wafanyabiashara tunaojua kupata taarifa za uwekezaji
Uwekezaji wa nini sasa? Zungumzia kilimo cha TZ. Bragging za niko Canada won't sell an inch of ideas among the mentally able people. Most braggarts are looser.
 
Kama anaiba na kuwekeza hapa hapa nchini haina shida.Huku ni kubadili tu matumizi au ni wizi mtakatifu.
 
Hii hoja yako ni wapi Bashe anatoka ni utumbo mtupu na naona unaiamini sana kiasi cha kuirudia kama vile ina mantiki.

Tukianza kuifuatilia asili ya kila mtu tutagundua kuwa hayupo mtanzania wa asili, wote ni wahamiaji wa miaka mingi.
 
Lakini Bashe namkubali.Anafanya kazi nzuri sana.
Ka mtu kadanganyifu tu! KIla siku kujidai na mambo ya uchumi kumbe alisoma marketing!

Mtu akishaanza udanganyifu wa maisha yake, hawezi kutusaidia. Nimekuta kule kwenye msg za zamani hata mwaka wa kuzaliwa anadanganya tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…